@fariji.edson:

Fariji Edson
Fariji Edson
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 04:01:00 GMT
24435
1396
189
247

Music

Download

Comments

kingraph84
KingRaph Sounds :
1st corrinthians 9:13-Don’t you realize that those who work in the temple get their meals from the offerings brought to the temple? And those who serve at the altar get a share of the sacrificial offerings.
2026-09-23 18:10:18
6
justoneimbuga
Justone G :
this content is for promotion 🤣🤣
2026-09-23 20:16:40
2
davidkasali
davis on the bass :
hatufi in jesus name😅😅😅
2026-09-23 18:44:57
1
sambass_97
@blackid_ :
you know, you know,, sometimes we need that bread 😂😂
2026-09-23 18:25:43
0
mosses_jonathan
MOSES JONATHAN✅ :
hatufiii😂😂
2026-09-23 12:22:10
19
www.tiktok.compapahfra3
Papah Franko :
hatufii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 20:12:34
0
salenge_jr
Eng.Salenge Jr. :
Wasipo pewa posho huo Muda wa kufanya mazoezi na kutemgeneza program wangelikua makazini kwao wangepata chochote kitu wakala Ma familia zao , hivi Kwanini Pastors wanajipa haki ya wao pekee ndio wanatakiwa kupata vya madhabahuni ??? That’s why niliamua kuacha kufanya music churches koz ni lawama tupu wakati huo wao hata hawajui wewe unaishije au unapitia nini Ila wako mbele kwa lawama tu
2026-09-23 19:17:36
7
pianoreassons
Piano# VJ MUSIC. :
GOD first.🙏
2026-09-23 14:36:56
0
edwardkitema595
Edward kitema john :
Mimi silipwi kwanini nikikosa ibada ilinijitafutie Cha kunisaidia munalaumu?
2026-09-23 14:25:46
5
masspianoofficial
ALMAS :
niliwahitoka geto saa 12½ asubuhi kwenda kupiga kinanda nikafika hilo kanisa saa 3 na nusu kwa mguu wakalaumu nimechelewaa ibada ikaaisha saa 9 nanusu na wakaniacha hivi hivi nikarudi napokaa had nafika saa 12 jion na sijala chochote siku nzima na nilikua mwanafunzi wa chuo kipindi hiko alafu wakawa wananilaumu aaah usiku wake nilienda bar nikapiga guitar had saa 7 tu usiku nikarud na 80k afu jumapili ijayo ile band ya pale bar ikawa inanitaka saa 3 asubuh aaah we sikupokea sim ya kanisan😁😁
2026-09-23 18:21:14
7
mckingutz1
Mc Kingu :
sasa nitakula guitar😂😂
2026-09-23 19:22:44
2
michaelmadirisha02
Dr michael. :
Ningekuwa mimi pia mpaka nilipwe tena pesa nzuri
2026-09-23 13:28:32
6
young.lion.269
young lion 269 :
Nilienda dukani nikasema nipeni snare drum bure ni ya huduma na sikumbuki nkipewa bure. Hakuna cha bure hapa 😂
2026-09-23 19:25:00
4
bonnydrummer
Boniface🥁 :
hakuna mtumishi atakuja kuhubiri au kutumika mahali pasipo kulipwa...why kwa wapigaji!?...je,sisi sio watumishi!?
2026-09-23 15:13:18
9
user7180333729075
mr.Sanga :
wao mpaka lipa namba wanazo
2026-09-23 16:23:58
5
rebeccasey23
Worship Jesus 🙏🧎‍♀️ :
alafu waimbaji kuimba mupaka walipwe wame kufa
2026-09-23 16:08:00
1
william_leshan
LESHAN the COUNTRYBOY🤠 :
Hatujakufa bana
2026-09-23 19:46:38
2
saxo955
Saxo :
injili ya 1995 Mzee akuna, mafungu ya kumi tunakula pamoja Music ni kazi
2026-09-23 18:31:26
2
edwardkitema595
Edward kitema john :
wao mpaka namba za mpesa wanazo
2026-09-23 14:27:55
2
user2240575793198
KATWANGA CHARLES :
na wahubiri hua sadaka ni za nini? si huduma ni huduma ama? basi wahubiri pia wafanye tu kama huduma 🤣
2026-09-23 17:31:33
2
ruth.lissu
Ruth Lissu :
na waalimu.wa kwaya wanakodishwa
2026-09-23 12:15:43
3
yoseph2312
Yoseph :
sema mzee
2026-09-23 05:39:03
2
shadrackfuraha2
shadrackfuraha2 :
sema wapone baba
2026-09-23 08:44:55
2
danielab_2025
Daniel b :
Wataenda je wasipopelekwa???
2026-09-23 12:16:42
1
barakabagalwab4
Baraka Bagalwa :
Muna hesabu tuu kusapoti wahubiri tu muna sahabu kwamba wapiga vyombo nao wali tumika katika utumishi
2026-09-23 19:46:50
1
To see more videos from user @fariji.edson, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About