@uhurufmtz: HISTORIA YA KUSISIMUA YA LAXY / NILIPEWA 1000 / NILITEMBEA KWA MIGUU,,,,,,,, @laxytz,,,,,,,,, #SINGE #bongofuntiktokers #bongofleva #bongotrending #bongomovies #singelitotheworld🌏 #mzikimnene #WASAFIFM #daressalaam #dodomatanzania🇹🇿 #comediatiktok #ugandatiktokers🇺🇬thank #kampala_tiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #nairobitiktokers #mombasatiktokers #taarabuchallenge #zanzibartiktok #yangabingwa #MBEYA
uhurufmtz
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 04:29:15 GMT
Music
Download
Comments
alvenus :
ulikuwa kilaza 20005 walifaulu wanafuzi wengi sana tena shule za kata zilikuwa ndio zinaaaza walifaulu wengi sana inaamaana ulipata maksi chin ya 100 au 120
2026-09-23 20:15:08
3
MG :
ili ufanikiwe vimateso kama ivyo kuvipitia lazima asee,,,,,, ila tunakaza na tunatoboa💪💪💪
2026-09-23 06:06:26
21
Team strong 💪🇹🇿🫶🇴🇲 :
mim niliingia Dar cjui mwak gani ila mwaka naingia nauli ilikuwa 150 mbagala kuu mpaka Langi 3 K koo mbagala ilikuw 250
2026-09-23 10:49:30
6
Mizani_ya_Imani :
unauhakika sio 1995
2026-09-23 14:33:17
6
Salim :
2005 namaliza secondary half mpak Leo sin hela maisha hay
2026-09-27 17:54:38
1
Denis Shegwando :
2005 niko form 3 kwel mm n mbaba😂😂😂
2026-09-24 05:28:15
2
BASUSI MAGARI :
2005 Ndo namaliza darasa la 7... Nakukbuka shuleni tulifaulu wanafunzi zaidi ya 100... 2006 Boko Secondary... Iyo buku mimi nilikua napewa ya wiki nzima
2026-09-23 10:08:53
4
Isack Sinkala :
TUAMKIE BASI 2005??
2026-09-29 21:22:08
2
Nito Creative :
Yaani nakumbuka 2005 wakati tunamaliza hadi wale mazwazwa walifaulu, mwenetu alifeli vipi? [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-30 14:33:03
0
@mussakibweja :
naukumbuka huo mwaka nami nilitoka kwa mkupuo wa pili
2026-09-23 09:51:43
3
MWAKASINGA EZEKIA :
miaka 21 nasio 25
2026-09-23 09:10:57
3
hilarysimonluoga :
big up
2026-09-23 07:06:26
4
Kareem Yassin :
21 miaka
2026-11-01 19:31:42
0
c :
miaka 21 bana
2026-09-23 17:36:33
0
Katoto Vitambaa :
Heeee 2005
2026-10-26 15:59:54
0
mussa yassini :
ni miaka 20 cyo 25
2026-10-19 23:26:28
0
Team strong 💪🇹🇿🫶🇴🇲 :
mwaka wetu uwo mim pia nilifaulu sekandi selection sio ndio tulikuwa mwaka wa mwisho kupata matokeo mala 2 mwaka 2006
2026-09-23 10:44:01
1
Team strong 💪🇹🇿🫶🇴🇲 :
na Ada ilikuwa ELfu 20000 Kwa mwaka
2026-09-23 10:45:30
1
Abdallah Nassorsaid :
moja mbili nauli hasira🤣🤣🤣
2026-11-14 08:12:58
0
abushehe :
mimi nilianza kutumia cm janja mwaka 2002 simensi
2026-11-01 13:06:23
0
Chitola Mng'ome :
Uyo da. Angel akilimali hta mm aliwah kunisaidia sn kipindi yupo P R T RADIO TANZANIA .. mungu ampe uzma na afya tele.
2026-10-18 11:13:15
0
King master :
class mate wangu kabisa
2026-11-07 07:34:54
0
allyyusufu702 :
mwaka huo ada na chakula ni 50000 taaluma 10000 ukichanganya na vitu ndoo jembe fekeo na panga wengine mpk sururu inafika elfu 80
2026-10-18 07:22:05
0
msambaa mmoja mchawi :
hakunaaaaa😂
2026-10-16 20:32:30
0
Kutawala :
Ulichopitia wewe na mimi nilipitia hivyo hivyo 2005 Second selection alafu home pesa hakuna daaa, unatamani kulia.
2026-09-23 17:38:50
0
To see more videos from user @uhurufmtz, please go to the Tikwm
homepage.