@death_or_state: KIFO CHA CHIEF GOOD LOVE MWAKIBETE #TaarifaMpya #kenyantiktok🇰🇪 #mrplanebmediatz🇹🇿 #NEW #tanzaniantiktok🇹🇿

†✞ 𝕄ℝ ℙ𝕃𝔸ℕ𝔼 𝔹 ✞†
†✞ 𝕄ℝ ℙ𝕃𝔸ℕ𝔼 𝔹 ✞†
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 04:38:45 GMT
103475
4486
231
290

Music

Download

Comments

kipepeo0001
J :
Guyz speed 2.0x😂🙌
2026-09-23 08:38:50
3
gosbertnkotanyi
Gosbert Faustine. :
wenye kiburi cha uzima hawajaelewa bado.
2026-09-23 07:13:34
37
abibornalex
Abbie :
Hii video usipoweka x2 utajuta😅🙏. Anyway good massage 🙏
2026-09-23 08:17:36
14
maltnez
Gonzalez malitinez :
unatuchelewesha bhana, ongea harakaharaka
2026-09-23 06:37:32
48
hb.king.blessed
Julay nicholaus :
unaongea taratibu sana mb zetu zinaisha
2026-09-23 07:13:43
32
smart.fox83
Smart Fox :
hakuna anaejua kesho ya m2 nimungu peke yake tulia kaka
2026-09-23 06:41:48
53
chikobeaby
chikostore🎀 :
imenibidi niweke speed lasivo bundle lingeisha
2026-09-23 07:59:48
0
its_nokem
~its_nokem 🐐 :
hurry up bro, i gotta scroll
2026-09-23 08:01:39
3
12xhux
12xhux wizzy :
mwanzo umesem video fupi lakin kadri tunavozidi kwenda naona inakuwa series
2026-09-23 07:30:42
13
mary.mwamsiku
Mary Mwamsiku :
Ambwene namuamin kwa hili
2026-09-23 07:07:31
16
ryne8716
Ryne💕 :
Nataman kukusikilza lakina unaongea taratibu bando langu la jero linakata😭😭
2026-09-23 07:26:53
8
vugirione
VUGIRI ONE :
Kaka video zako zinapoteza mvuto kwa ajiri ya kuongea taratibu mnoo.wengine tunakaa mbali ongea haraka
2026-09-23 07:42:01
9
user3936151694863
pendo :
kaka ongea haraka kidogo maji yanakatika kwetu maji Niya shida
2026-09-23 07:45:17
10
haji_momed
Haji :
hongera zenu mliosikiliza mpk mwisho.mi nimeshindwa...
2026-09-23 08:43:08
6
the.boss.lady450
The boss lady :
Ubarikiwe sana mtu wa mungu🫂❤️
2026-09-23 08:26:18
5
kapelomusic.store
Kapelomusic store :
duuuuuh Ambwene umeniliza
2026-09-23 08:30:22
0
alphonce.john.the
Alphonce SylveThe Elohim power :
powerful spiritual message
2026-09-23 07:25:27
1
user142080830732
MOM G :
Kuna watu hata mkiongea siwezi kuwaamini ila kwa huyu baba namuamini % 100 🥺
2026-09-23 07:21:04
40
eng.godsave
Eng.Godsave :
Hakika asubuhi imeanza vzuri kwangu
2026-09-23 05:04:11
32
mom.d.beauty
mom d beauty :
Baba wewe mungu kakuchagua kweli hiyo ndio sauti ya kitume barikiwa sana baba 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-09-23 07:58:31
6
user2126521080547
Prisca :
asante kwa ujumbe huu mzur Mungu hakubarik sana pia napenda sana nyimbo zak ila wakati mwingine jaribu kuongea kwa haraka jaman
2026-09-23 07:21:03
14
user8468355873187
user8468355873187 :
ww ni mungu
2026-09-23 06:09:51
6
yasintaoffical
yasintaoffical :
aisee ataemalizia huu ujumbe anisimulie plz
2026-09-23 08:33:47
2
saraphina2626
Saraphina Cutie🥰 :
kuna mtu anakuelew sana baba ang lakin kuna mtu anaona unampotezea muda Mungu atusaidie 2
2026-09-23 08:38:50
1
bitianamakombe
Bitiana Makombe :
nyimbo zako zinanibar8ki sanaa
2026-09-23 08:42:33
1
To see more videos from user @death_or_state, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About