@kwikwijo: TANZANIA YATOA WITO WA AMANI GAZA, YASISITIZA SULUHISHO LA NCHI MBILI NA HAKI YA WAPALESTINA KUJITAWALA Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo na kuhuishwa kwa diplomasia yenye lengo la kupata amani ya kudumu katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya Kati. Akihutubia Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 22, 2026, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Tanzania inaendelea kusisitiza umuhimu wa kupatikana kwa suluhisho la kudumu kwa mgogoro wa Israel na Palestina. Ndejembi ameongeza kwa kusema kuwa, Tanzania inaunga mkono suluhisho la nchi mbili, ambapo Israel na Palestina zitaishi pamoja kwa amani na usalama, kwa kuzingatia sheria za kimataifa na maazimio husika ya Umoja wa Mataifa. Vilevile amesema Tanzania inatambua haki ya watu wa Palestina ya kujitawala na kwamba amani ya kudumu inapaswa kuzingatia utu, usalama na matarajio halali ya pande zote mbili. "Msimamo huo umekuwa sehemu ya sera ya Tanzania ya mambo ya nje kwa miongo kadhaa." " Amesema Ndejembi Katika hotuba yake hiyo, ameeleza msimamo wa Tanzania kuhusu umuhimu wa kuheshimu mamlaka ya nchi na sheria za kimataifa, huku ikipinga hatua za upande mmoja zinazoweza kuathiri uchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zinazolengwa. Vilevile ameeleza kuwa, Tanzania inaunga mkono ushirikiano wa kimataifa unaozingatia mamlaka ya kila nchi na kuhimiza kuondolewa kwa hatua zinazoweka vikwazo katika maendeleo na utekelezaji kamili wa haki za binadamu. Akizungumzia nafasi ya Umoja wa Mataifa katika masuala ya amani, amesema migogoro inayoendelea duniani inaonesha umuhimu wa kuimarisha mfumo wa kimataifa unaozingatia Mkataba wa Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa. Amesisitiza kuwa Umoja wa Mataifa unapaswa kuendelea kuwa jukwaa la haki, mshikamano na maendeleo, huku nchi wanachama zikiheshimu misingi ya Mkataba wake katika kujenga mustakabali salama kwa wote.

Kwikwijo
Kwikwijo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 04:57:21 GMT
164
7
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kwikwijo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Relax to the full 1 Hour Cozy Christmas Fireplace Ambience video on our Youtube channel : @BigTideCo. 🔥🎁✨ The perfect Christmas background for relaxation, cozy evenings & family gatherings. #christmas2025 #firesounds #fireplace #sleepsounds #asmr asmr extremely sleepy - 1 hora de asmr relaxante para dormir - звуки камина 1 час - fireplace 1 hour - 1시간 불멍 영상 - cheminée 1 heure - ASMR Extremely Sleepy - ASMR Fall Asleep - ASMR Para Dormir - ASMR dormir - ASMR para dormir - Extremely Relaxing Sleep ASMR - Fall Asleep Asmr - Take a moment to unwind in nature’s calm. - Youtube videos to calm down - asmr fall asleep - asmr para dormir - asmr sleep to fall asleep - asmr to fall asleep - asmr to fall asleep relax - calm videos long - nature relieving stress - rain asmr for sleeping - relaxed scene 1 hour - white noise for sleep - videos to make you calm down and relax - white noise sound 1 hour - calm videos long - nature relieving stress - rain asmr for sleeping - relaxed scene 1 hour - white noise sound 1 hour - brain calming videos - relax - relaxing videos to calm down - relaxing - relaxing and calming - very very sleepy asmr - low stimulation videos before bed - winter asmr - relaxing videos - cozy asmr for sleep - asmr for sleep winter - 1 hour of asmr sleep and relax - relaxing and calming to sleep - sleep relaxation - Cozy sounds - relaxing videos - sleep relaxation - satisfying videos for sleep - Calming videos - ASMR Relaxing Videos - relaxing videos for stress

About