@sham_wordsmith: Chapter 437.....

Shampain
Shampain
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 23 September 2026 05:15:37 GMT
436868
31015
1787
8816

Music

Download

Comments

tecy681
Stecy🦋 :
then kuna mimi asubui ikifika zinarudi kwa kitanda jion ikifika kwa kiti wueh its life
2026-09-23 11:44:11
913
bobo28929
bobo :
Mimi hufua naanua nafold and parking the same day🤗
2026-09-23 09:45:25
178
winbebz123
🦋 winnie 🦋 :
ata sio Kwa kiti mi huvalia Kwa kamba adi zinaisha
2026-09-23 07:13:47
577
msooericmundia
Mundiajane the black girl :
Mimi huziswitch from bed to sofa every day Hadi ziiishe
2026-09-23 07:44:54
106
070350gavi
Snow Leopard 🌨️🌨️🌹🌹 :
Then kuna mmi huziskuma na mguu kwa kitanda kama socks 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 07:43:13
311
linamaina2
Lina Maina :
Ndio maama sitakangi un-announced guest kwangu
2026-09-23 13:28:36
309
fwambbtrxa6
maggie :
mm ata sijuangi yenye safi na chafu ni gani ooh my lord ata sijui nitaolewa na nani😂😂
2026-09-23 10:16:37
46
felisterwambui400
Wambui :
mimi after kuanua hua nazifunga na bedsheet yenye situmii
2026-09-23 13:36:48
44
mumbibdto5f
mumbibdto5f :
na mm mwenye huvaa zote Kwa kamba n simame wapi 😂
2026-09-23 17:42:12
36
bettykim343
bettykim343 :
kama kuna kitu hufurahisha hii roho ni kuona nguo zangu zikiwa neat
2026-09-23 13:23:55
77
__liz.zie
🤩liz~ :
Mimi zangu mchana ni kwa bed and then usiku kwa kiti ni life
2026-09-23 17:32:40
6
minbenati88
minbenati88 :
Wenye tunapinga Hadi pasi tent yetu iko wapi
2026-09-23 17:12:40
15
user50497391199991
Frank vijay :
Mimi Zangu hushindaga juu ya net nanusa kutofautisha chafu na safi
2026-09-23 17:57:53
28
psirmie_254
Psirmie :
Heri nynyi... Zangu sahii ni wiki ziko bado kwa kamba. Nachuna kamoja kamoja nikivaa kila siku. Uchovu wa siku mzima
2026-09-23 22:43:07
14
user8078528784567
musyoo gabriel ( peter junior) :
mm ata Huwa nafua Alf yenye itakauka ya kwanza inakuwa example Kwa zingne
2026-09-23 11:34:58
21
lizwanzilani
Elizabeth :
imehidi mtoto ahamie bed yangu juu yake ndio store ya nguo safi 😂😂😂😂
2026-09-23 19:05:18
10
janneleshiks
jannelle shiks🥰 :
🤣🤣🤣tuko wengi kumbe..kwanza Sunday time yenye Niko hua naambia mtoi ukiulizwa kama Niko useme siyuko na hujui Niko wapi. sitakangi un-announced guest kwangu..Kila mtu akae kwake
2026-09-23 13:45:05
7
stevemilan77
Milan :
kwanza nikivaa moja nione haijachafuka saaana nairusha kwa hizo safi kwa kiti ndio niitumie tena day ingine
2026-09-23 08:36:58
27
annswiry
Ann swiry :
Mmh na sisi wenye it’s been three days ziko kwa maji tukae wapi..[Big LOL]
2026-09-23 19:00:42
39
oti.s5
otis :
the ocd in me cant allow manguo zangu zilale bila kuwa ironed na kupangwa vizuri kwa wardrobe..bila kufanya ivo nitafeel tu uncomfortable wallai
2026-09-24 03:12:10
97
247caro
lovie :
i fold as soon as dried
2026-09-23 09:25:48
39
marynjets
marynjets :
it's not show off. Personally I hate piling up clothes, I like my space neat
2026-09-23 12:38:18
21
brendakithinji8
Miss❤️ :
me Kuna time zilikaa three weeks ,so siku ingne ndio najiuliza niaji hizi nguo zinakaa zangu
2026-09-23 08:06:06
28
empress.059
Empress 059 :
and that was me before nioleke wueh kwakina ndoa lazima ukunje iyo day banar😂😂
2026-09-23 10:13:24
20
maysunday8
May Sunday :
then Kuna Mimi mwenye lazima nianike na pegs za colour Moja na Same type
2026-09-26 17:14:27
5
To see more videos from user @sham_wordsmith, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About