nataman kufanya biashala yamazao lakin sijui niazie wap
2026-09-23 05:47:52
0
BILLIONAIRE Raphael musaaa :
yes madam umesema vyema
2026-09-23 06:16:23
0
Nass :
Wakulima wengi wanalima kwa kutegemea masoko ya vyakula ya kawaida, na tatizo linaanzia kwenye kulima Kwa mhemko yaani mkulima anatabiri sokoni baada ya kuvuna lakini hajui ni nani hasa atamuuzia matokeo yake ni hasara Kwa kuuza bei yeyote
2026-09-23 06:09:31
0
shomarikimanga :
naomba namba yako yang mmi 0713223374 ili tuyajenge
2026-09-23 08:39:21
0
To see more videos from user @fmmazao_connect, please go to the Tikwm
homepage.