[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] kweli waambie hao mtu hata elfu 20000 ety anazima cm kweli ukimchiti huyo ety umemuonea [Laugh approved][Laugh approved] nakua nachoka Mimi na mamb hayo sasa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-23 12:48:46
1
🌹MANENO 🌹YA🌹 DHAHABU🌹 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]dah
2026-09-23 12:53:26
1
BRIGHTNESS 🌞 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]kwa kweliii
2026-09-23 10:29:25
1
BARAKA SHIRIMA :
wapiga nyeto wenzangu bwana yesu asifiwe
2026-09-23 12:02:15
4
Elizabeth Frank :
na ndonaana mimi nikitongozwa tu ilinijie huyomtu anania na mimi huwa naanza kutangaza shida mala bibi kameza shoka mala babu kameza bunduki ilimladi nijue kama nia yakuana mimi anayo au anataka aichape achapw lapa🤣 kama kakupenda kweli atapambana akuletee japo nusu ya ulio muomba ila kama zugaji litaenda mazima wala hatowahi kukutafta tena ndodawa ninayo wafukuziaga🤣
2026-09-23 13:19:31
2
Samson :
sasa wakiomba wakiambia waje wachukuwe awataki sasa tufanyaje, ukiomba njoo uchukuwe ☺️
2026-09-23 07:33:54
8
God Bless ME :
uwakika big me niliombwa elfu 30000 wakat na dem mpya sjawah kuonga hiyo hela hyo sku nikafuta namb yake kabisa nikaon hyo ni tapeli
2026-09-23 12:30:53
2
aisha :
kuna mtu uy nilimuomb elfu 5 wiki sasa ata sm apokei ningemuomb iy 50 ningekula na block kabisa