@abdulhafidh575: 🖐

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 06:31:23 GMT
86357
4178
382
307

Music

Download

Comments

tabbytitus
Chams :
Walai huu niukweli mtupu[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-23 10:56:02
0
paulinejaesang
~♤lynne~♤ :
imagine Niko nazo zote[Tears of joy]
2026-09-23 09:02:11
0
omedytailor
omedy tailor :
heeee miaka 30 TENA 😭, saiv nna 22
2026-09-23 10:28:43
0
vijora_hub
vijora hub :
kwahiyo izo alama zote weye unazo
2026-09-23 07:03:33
24
luckylady245
luckylady :
sina kidoto ata kimoja😁
2026-09-23 09:15:01
16
user4488328057195
pretty girl 👧 :
ao waziz wetu wanatusapot bila ya izo alam na tunafanikiwa na dua wanatoombea Alhamdulillah
2026-09-23 07:45:19
16
rachma_rahiy
Being_Rachma🦋 :
Sina hata moja🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 12:29:44
5
nice.love311
Nice love🦋 perfumes :
Nilitaka kujipiga picha mkono Ila nimejistukia hizi sugu shekhe 😁
2026-09-23 10:35:05
6
zulsham08
zulf@t heen@💕❤️💫👌 :
clock it 😍👌
2026-09-23 16:52:35
0
zu2351
zu2351 :
Mimi kidole Cha mwisho na ni kweli napenda kusaidia sana n napenda maisha ya amani na napenda amani
2026-09-23 09:02:48
9
user4529285992045
chama :
mi kidole cha shahada ndy nnacho je maana yke nii
2026-09-23 08:43:06
6
linahj8
Am Linah. ♥️🇹🇿 Mahona :
sasa mm hii inamaanisha nn
2026-09-23 10:11:54
4
mohammadomar9456
ASAAD :
wallahi shekhe.hujadanganya
2026-09-23 15:53:01
0
hillu_kitchen_utensils2
Hillu_kitchen_utensils1 backup :
Yoooooo
2026-09-23 09:55:59
0
ummusalama57
Salama Juma :
Kwaiyo wewe ndio Unazo?
2026-09-23 08:08:13
1
user1242824441573
secret mamuu💞💞💞 :
2026-09-23 09:37:22
0
ashurarashmilahassan
chocolat cake 🍫 :
2026-09-23 07:30:17
5
user294217815922
%*%Fahnay%*% :
mm iko kidole cha mwisho nakwambia ni kweli adi najicheka apa jaman nachoka mm
2026-09-23 15:57:18
1
ashura.mussa8
Ashura Mussa :
hii jee inamaana gani
2026-09-23 15:19:46
2
raya.nassor1
Raya Nassor :
mm nnayo kidole cha shahada maana yake nini
2026-09-23 13:13:01
1
cuteayra52
🦋Cute Ayra.🦋 :
Alhamdulillah🥰
2026-09-23 10:51:18
0
itsgoofy15
GOOFY 🙃 BADDIE 😜 :
Vp kam alama ikiwa kwa upande wa nyuma
2026-09-23 07:42:34
2
mch.makame
mch makame :
hilo ni kweli
2026-09-23 06:44:17
2
user5107398452447
Asfah :
Asslm alykum shekhe Mimi naomba uniombee Dua hakika Allah ndie tunaemtegemea.
2026-09-23 08:29:31
3
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About