@dr_imma_01: 🤱🏽 MASSAGE TUMBO LA MTOTO KWA UPole ❤️ Hii husaidia mtoto kutoa gesi, kupunguza usumbufu wa tumbo na kusaidia mmeng’enyo wa chakula. 🥰 Fanya kwa upendo, bila kubonyeza kwa nguvu, na wakati mtoto akiwa ametulia. 📲 Kwa elimu zaidi kuhusu afya ya mtoto, endelea kunifuatilia. #AfyaYaMtoto #MassageYaMtoto #MaleziYaMtoto #AfyaYaMtotoTanzania #DrImma