atalipa aliyekopa,akatuhusisha wengn,songesha tuu imefnya nivunje line
2026-09-23 17:37:03
6
conde mkucheni :
aya kuna mwenye swali kabla sjafunqa kikao
2026-09-23 08:46:39
3
🥀 Eunice 🥀💝 :
Kwan watu wa Tanzania majibu mnaandaaga mda gan khaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 14:03:29
6
Mailos :
kwani wanao kufa wenyewe wanamwachia nan🤣🤣🤣
2026-09-24 08:11:01
0
rahelmimbi :
nitoke tanzania nikatesekee wapi mimi
2026-09-23 07:39:48
8
CHETU CHUMA GSM :
😅😅😅😅 Tanzania Kwa Sasa sisi wenye Tanzania yetu wote tumechanganyikiwa hamna hata wa kumtibia mwenzake. 🤣🤣🤣
2026-09-23 09:18:29
3
Raji jj :
deni langu nilimkopa Nan? wap? Lin? shi ngap?
2026-09-23 16:45:45
2
Faustina Mkama :
hakuna Taifa linaweza kumpokea mtanzania.
2026-09-23 09:21:23
3
sKurwa Sebastian @gmaeli com :
ivi deni saii limefikia ngap kwer toka mwaka jana ndo nimenunua bando leo tena la jero
2026-09-23 09:14:45
1
keyyl. :
nimecheka km fala usiku huu
2026-09-23 20:04:38
1
Grace Ibrahim :
siwezi kulipa den ambalo sijawahi kupewa hat 50 ya pipi bhn hapa yenyewe nadaiwa na kamilisha inanitoa jasho kila siku sms kwamba nilipe na staki kulipa na nilitumia mimi has hiyo ambayo mtu alikula na watoto wke me nije nilipe tena wanitoe huko kwenye deni🤣🤣
2026-09-23 17:57:40
2
The🌹d🌹𓆩♡𓆪 :
aah mimi tanzania sihami ila deni silipi maana sijakopa🤣😂
2026-09-23 17:37:41
2
rose 🌹rose :
deni sio la taifa nilake mwenyewe mm sikushirikishwa
2026-09-23 18:09:18
1
vanesa kimbory :
Eeeh kweli Hii ndio tanzania nyie comment zinanimalizaga kabisa 🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 19:30:34
1
🥰Sarah Nsenye🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
😂yaan Tanzania hakun mtu wa kumshauri mwenzake wote wamevurugwa 😂
2026-09-23 13:58:56
1
Christinangombe :
me tokea nimezaliwa sijawah ishi Tanzania naishi zangu Kigamboni hilo deni halinihusu kabisaa 🤣🤣🤣
2026-09-23 17:31:10
0
winifrida john :
me nahamia kigoma
2026-09-23 08:10:57
1
Dee' :
mtu mwenyewe.lastborn muacheni tu aende tutamsaidia kulilipa au mnasemaje
2026-09-23 20:05:35
1
🌼jesca. cornel🌹🌹 :
Yaan nikitoka tanzania kenya mnipokee 😂😂
2026-09-23 08:07:27
2
its@_dollars🌹🦋 :
ogopa nchi adi viongoz wanaitwa wakatoe ushahidi mahakamani🤣🤣🤣🤣🤣🙌nihamie Arusha sasa
2026-09-23 18:58:10
1
To see more videos from user @stardomtz_1, please go to the Tikwm
homepage.