@angushaule1: #RDC #Wazalendo #tanzaniatiktok #rwandatiktok🇷🇼 #kinshasa🇨🇩

angushaule1
angushaule1
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 23 September 2026 06:55:48 GMT
59472
3593
237
323

Music

Download

Comments

shadaentp
shadaentp :
Sio Tanzania bro, kuna mwanamke kaambiwa akituma Jeshi atapata Mali za Congo...Watz hatuna ubaya na wa Congo. LAKINI KIJESHI HAMTUWEZI.
2026-09-24 07:21:27
5
kimkimath506
Kimath Lello :
Kwanza Poleni sana Wakongo. Mmachotakiwa kujua ni kuwa nyinyi ni ndugu zetu na sisi ni ndugu zenu, hatuna ugomvi na nyie na hatujawahi kuwa na ugomvi na ndugu zetu. Mnakuja kibiashara ktk soko la kariakoo na tunanufaishana, miziki yenu ya kongo ilituunganisa tangu zamani, mpaka leo hii kwa ukanda huu wetu timu yetu tulio wengi ni timu ya taifa ya kongo. Wanasiasa ndio hutaka kutugonganisha vichwa, huyu unaemzungumzia kasikizana na Tisheked hata sisi alitukunywa supu oct 29 na ninyi mliona. Fanyeni hivi, huyu mkitaka aumie enendeni mkazamishe tuvisiwa tutatu tupo hapo pembeni mwa bahari hindi sisi Watanganyika tuacheni tuna mengi moyoni.
2026-09-24 08:30:35
2
user9823354209219
Annie phiri :
true bother
2026-09-24 04:55:27
0
user8380076817498
Patricia Bin Tambwe :
Unasema kweli. I appreciat.
2026-09-23 09:29:05
11
kamasi.kazadi
Riziki popote :
samya ahechimiye Congo. DRC siyo Tanzania
2026-09-23 09:19:32
12
user8737360904077
joyeux sokulu :
M23 inahaki gani injini kongo
2026-09-23 10:17:42
5
kamutele
Bonita sozinha ❤️😘 :
Aksante mungu amibariki
2026-09-23 07:54:48
14
fatoumatadiawara774
Fatoumata Diawara :
Haiko wa tanzania ni Mama samia njo wafitina
2026-09-23 07:58:32
15
isac87382
isac :
Tanzania nitatizo kubwa kabisa
2026-09-23 08:40:58
12
alain.baruti.beno
Alain Baruti benoit :
@ok nivile
2026-09-23 13:03:55
1
floor.muta
Floor Muta :
merci pour la précision au tanzania
2026-09-23 07:13:12
14
mbuyu71
alliance :
tazania anatafuta vita
2026-09-23 10:05:05
9
binyota5
Harriette Nyota🥰🌹 :
Asante saaaana kk una ogee the points 👏👏👏👏👏🌹
2026-09-23 08:04:39
6
user1228448122504
mira :
amen papa kuchokoza watu wasio kosa na mutu ni kukutana na mungu wa mbinguni sisi hatuna kosa mungu tu ata tupigania vraiment tuko na imani
2026-09-23 09:12:15
7
user3575458249294thierry
akili :
tunaomba amani mama samiya
2026-09-23 07:53:06
9
lethy2872
LETHY :
bien dit yaya
2026-09-23 07:46:58
8
user8466676112661
neema Joséphine :
félicitations papa wahambie
2026-09-23 08:28:10
5
user539990297632
I.L.S :
message très profond
2026-09-23 12:10:36
5
benjaminasimwe372
kbt :
wao hawajiwi vita vinavyoendeya inchini humo wamezaniya kwamba madaraka hii yatadumu bila mwisho. lakini nataka niwajulishe kwamba vita yetu yakongo niyakimakabila. nasasa tanzania inajikokoteya ukabila
2026-09-23 08:24:05
6
kapeke02
@Kapeke 🇺🇬🇹🇿🇸🇦 :
Hawa jamaa wanaenda kuhamishia vita kwa Madereva wa kibongo km atujawa makini kwa kauli hizi Mungu atusimamie sn
2026-09-24 08:42:31
1
kelvinmakweta
KELVIN MAKWETA :
hata sisi tunatafta aman viongoz wetu ndo wanamakosa sio raia hatuna kusa hao wajeshi ndo wanatumwa sisi raia hatuwatumi wajeshi
2026-09-24 08:15:45
1
masindataureau
𝑴𝒓 𝒍𝒆 𝒕𝒂𝒖𝒓𝒆𝒂𝒖 🐂 :
𝕊𝕒𝕤𝕒 𝕞𝕦𝕟𝕒𝕠𝕟𝕘𝕙𝕠𝕡𝕒 𝕟𝕚𝕟𝕚
2026-09-23 20:50:07
2
sichalwe.leonald
Sichalwe Leonald Enock :
Huyu nae Ni nani?
2026-09-24 03:54:24
3
user6172436555613
janvier M :
Le président Paul Kagame qui va Amener la Paix au Congo ? kagame alisema yéyé mwenyewe ndjo M23. ukigusa M23 unagusa RWANDA, Mina regrette naweye leo.
2026-09-23 08:44:28
4
michael03797
Michael :
Unasema kweli
2026-09-23 12:29:10
3
To see more videos from user @angushaule1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About