@hamiducitypark: Wekeza kwa ajili ya familia yako kuishi mahali panapostahili. Anaconda House ni zaidi ya nyumba ya kuishi. Ni nyumba iliyoundwa kwa ajili ya familia inayothamini modern design, luxury lifestyle, spacious living na finishing za kiwango cha juu. Hamidu City Park inakuletea nyumba hii ya kipekee, pamoja na amenities bora, community nzuri, usalama wa 24/7 na mazingira ya kuvutia kwa ajili ya maisha bora ya familia yako. 📞 Piga simu sasa au WhatsApp kwa maelezo zaidi: +255 659 500 100 / +255 655 738 017