@healthyfity1: Replying to @user4465375281021 Unahisi kitu kina kaba kooni Unapata usumbufu upande wako wa koo, acid inapanda na kuathiri koo lako au unasumbuliwa na tonsillitis au tonsil stones. Hauna budi kurekebisha afya ya koo na tumbo.. Wasiliana na Dr Gea kwa muongozo zaidi.. #acidraflux #SoreThroatRelief