kua muadilifu kak sheikh iswaam hapo kuna mtu kw comment alitaka aonyeshwe vitabu ili kuthibitisha kwamba hiyi maktaba sio a i ndo sheikh akawa ywamuonyesha
2026-09-23 08:33:03
6
ABUL BANAATI MUHAMMAD :
kinacho nisikitisha kwa maswali haja jibu hata moja kakmbilia kujitetea kwa yuko na maktaba maskini punda wa ilimu jibu maswali wala siyo ria
2026-09-23 11:07:33
6
A͆&H͆💍 :
uyu kwani amjui baba riya majigambo masifa na kupoteza watu mimi naulizaje sasa imgn amesoma izo vitabu zote nanyuwakimbia kujibu maswali punda wa elmu haswa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] aya masufi njooni munipige nishasema ukweli 😎😼
2026-09-23 07:31:38
4
Mpili Kassim :
Kwani nyinyi mumeulizwa mangapi na mumejibu mangapi mm mwenyewe nimewauliza sana na nauliza tena Nani kaanzisha salafi na kwa lengo gani kwa dalili gani
2026-09-23 14:38:25
1
Abu muhamad :
hi maktaba Sio Ile maktaba yenye uwa Anarecordia video
2026-09-23 08:42:50
2
alifoalide (مضاف). :
الله موجود بلا مكان ،هذه عقيدتنا
2026-09-23 10:20:59
3
singham :
mlisema ni AI kisha mkionyeshwa na mna sema n riyaaa mbn hamna sehemu ya kushikilia
2026-09-23 13:55:33
0
hamdan :
kwaiyo m/mungu amekaa na kama amekaa inamaana ekua amesimama na kama amesimama amekaa kwa kuchoka kusimama au vp
MUKIAMBIWA m/mungu halali, hasinzii, hachoki sasa huku kukaa na kusimama ni vipi tena
2026-09-23 10:04:10
1
Salim Swaleh :
sasa akujibu wewe ili iweje
2026-09-23 10:32:48
1
BIN HAMDOUN :
mbona hujui kufasiri aya wapi neno YUPO umelitoa wapi kwenye hiyo aya ( maujuud) hakuna ktk hiyo aya
2026-09-23 13:26:14
0
Bakari khamis :
mbn hakujibu
2026-09-23 12:23:42
1
Athman Babusa :
AI hiyo 😂😅
2026-09-24 03:18:45
0
✰J𝖆y𝖑𝖆𝖓𝖎✰ :
jamni mda wa kufanya ibada tunaupata lakini au kutwa kupapurana mitandaoni tu ?
acha unafiki abuu naufal, huyo aliombwa aonyeshe vitabu akaonyesha, acha kumhukumu mtu ria hilo analijua allah ndani ya moyo wake, sasa kama wachukua nafs ya allah hongera
2026-09-23 07:39:26
0
ᴋᴜsɪ ɴᴇɴᴇ :
shekhe hataki VIFARANGA,anamtaka shekhe HUMEID aje kwenye MEZA,musimlazimishe awajibu.hayo majibu ni vizuri mukamuelekeza SHEKHE HUMEID aje amjibu yeye, then tuone ELMU.😀
2026-09-23 11:04:26
0
Abal Ajami :
yote ni kushindwa huko mlianza kusema ni A I leo mumetahayari na unajdi wenu
2026-09-23 07:41:37
0
Ustadh Bilal :
endeleeni tu sisi tuko nyuma tunawaangalia 2 kama nikweli munasema kua hivi ndio kuilimishana basi kunao wanao hitaji kuilimwishwa ingine huko ndani ndani mukafanye daawa siyo kuka mitandaoni mukawa munatoleana maklip mm nasema huko sikuulimishana bal nikutukanana tu paka lkn jamaa wacheni hayo mambo tunachekwa najama zingine jamaaa
2026-09-23 09:35:09
0
abujamaalah :
kiufupi hatuna muda wa kujibu vifaranga, Sisi Tupo na ra-asu Al fitna, Dilele
2026-09-23 08:21:18
1
Abdallah Awadh :
Hawezi jibu maswaliii na yule mmoja janaaa aliharibu mjadalaaa😂😂😂abdulhalim sijui
2026-09-23 07:28:51
3
abuuabdiljaliil :
😂😂😂😂shekhe is iswaam unawanyooshaa
2026-09-23 15:16:13
0
ALBANY :
acheni uongo jamani twajua ukweli na alisema maswali haya aulize dilele au Abu Hashim pili eti hamtaki mashekhe WA zama hizi na nyie mwatoa kauli za kina fauzan na wenzake
2026-09-24 12:06:38
0
Jamaludin jamir aljab :
nyinyi watu wa chuki hamna lolote
2026-09-23 23:21:29
0
To see more videos from user @abuu_naufal, please go to the Tikwm
homepage.