@mtakigamba: Million 3.7 Tsh 🔊 Samsung Q-Series Soundbar HW-Q990H (2026) 🎬 Burudani ya kiwango cha sinema, moja kwa moja nyumbani kwako. Samsung HW-Q990H ni Q-Series Soundbar yenye mfumo wa 11.1.4 Channel, ikija na Subwoofer na Rear Speakers kwa uzoefu wa sauti unaokuzunguka. ✅ 11.1.4 Channel kwa sauti ya kina na yenye immersive experience ✅ Subwoofer kwa bass nzito na yenye nguvu ✅ Rear Speakers kwa surround sound inayokuzunguka ✅ Dolby Atmos kwa sauti inayosikika kutoka pande na juu ✅ Muundo wa kisasa unaoendana na Samsung TV ✅ Inafaa kwa movies, music, gaming na sports Iweke kwenye sebule yako na geuza kila movie kuwa experience ya karibu na ukumbi wa sinema. 🔥 Samsung HW-Q990H — Feel Every Sound. 📞 +255 678 307 738 📞 +255 694 000 400 📍 Kariakoo, Uhuru na Congo Mars Communications Ltd Msambazaji Rasmi wa Bidhaa za Samsung Tanzania kwa Jumla na Rejareja.