@olishopping2: Oli Shopping Plaza Dodoma Legacy Mall itafunguliwa rasmi mnamo Septemba 25, huku bidhaa zote katika maduka ya Dodoma na Sinza zikitoa punguzo la 15%!#olishoppingplaza #viral #fyp #offer #dodomatanzania @Oli Shopping Plaza(sinza) @olishoppingplazadodomao @Oli Shopping Plaza •Sinza @Lewis
kuna mtu kasema anakuja na mwiko [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] ila jmn [Red heart][Red heart][Red heart][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-23 12:46:48
1
Press on nails & Ponytails🌸 :
ungeongeza neno shangingi, ingeenda viral vp!!!!
2026-09-23 08:38:35
36
Mwanahija Nyenje :
Sina ipad nakuja na mwiko
2026-09-23 10:27:37
55
Bint Stadi :
Nakuja na bakora maana tablet haijawatosha
2026-09-23 11:48:10
20
Arusha Maternity Store :
Kwann uniite mama wa Nyumba😂 nije na Ipad?
2026-09-23 11:04:50
17
naa lovely_1🧚 :
Nakuja na tablet nakutaftia kisababu tu [Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-23 15:12:43
0
it'sreeey🌸🍫🥰 :
kwann uniite shangingi
2026-09-23 11:59:57
5
Nessa Belle :
ntakuja na rungu kwann uniite mama wa nyumbani
2026-09-23 11:23:04
9
COOPER 💜 :
mie ndo nlieitwa shangingi sitapiga mtu nakuja nimevalia kijora[Tears of joy]
2026-09-23 13:50:34
0
user8388543967681 :
hatuji
2026-09-23 08:58:43
5
JemshiD :
USIJALI TUNAKUJA WENGI NA TSHIRTS ZETU ZA SHANGINGI ZENYE CHAPA YA I POD
2026-09-23 11:18:57
6
Kelvin :
Badoo wewee 😁😂
2026-09-23 13:51:52
0
BRIANA🔗🔥 :
nakuja na panga kwann uniite mama wa nyumbani
2026-09-23 12:02:14
6
queen allen :
Nakuja lakn mm cna pc nakuja na tv yangu 🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 10:01:01
4
Dee🇹🇿🇨🇳 :
Asante,, ntakuja nahii😂
2026-09-23 13:38:09
1
Swabra :
😂😂Sjui nacheka nn kila nikisikia shopping
2026-09-23 12:23:55
2
wear_by_nana🦋 :
tukija tunawabonda tuu huku tunanyongaa😁
2026-09-23 13:37:50
0
homie🍒🇳🇬 :
me nakuja na toy langu
2026-09-23 10:53:41
1
moves from God🙏 :
Mimi kama shangingi nitakuepo
2026-09-23 12:31:44
0
China ya dodoma bei mserereko :
Sawa muwe na customer nzuri si mmeona shoppers huko😂🤣
2026-09-23 11:21:56
1
Lyne❤️ :
Tunakuja na heels😁
2026-09-23 11:34:07
1
Ami✨ :
saivi tutatembea na visu 😁😁😁
2026-09-23 11:07:03
3
Robert Mzizima :
mnaruhu mteja kuingia na laptop?
2026-09-23 12:39:46
1
Mimah :
itakuwa birthday yangu ngoja nije kujispoil
2026-09-23 13:02:40
1
To see more videos from user @olishopping2, please go to the Tikwm
homepage.