@storyzakitaa: Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, @ambwenemwasongwe, ametoa ujumbe mzito kufuatia video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha @chiefgodlove akiimba wimbo wake unaoitwa “TANGULIA MBELE YANGU” kwa hisia huku akitoa kauli iliyowashangaza wengi. Katika video hiyo, @chiefgodlove anasema kuwa alisomea Uchungaji kwa miaka mitano, lakini hali ya njaa ndiyo iliyompeleka kwa Shetani. Akizungumzia suala hilo, Ambwene Mwasongwe amefafanua zaidi na kumsihi @chiefgodlove ageuke na kutubu, akimkumbusha umuhimu wa kurejea katika njia ya Mungu.
Sio raisi kuvunja mkataba aliofanya na shetani labda mungu aangilie kati kumsaidia kumtoa mikononi mwa shetani... vinginevyo anaweza kupoteza hata uhai wake
2026-09-23 17:16:55
1
𝗝𝗔𝗡𝗞𝗦&𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔𝗡𝗭𝗨𝗥i :
😂mtoto WA mchungaji
2026-09-23 12:47:41
1
Jonsony Saimony :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 16:25:12
0
To see more videos from user @storyzakitaa, please go to the Tikwm
homepage.