Halafu Kunawakwetu wanakilakitu nakusoma Hawana time
2026-09-23 10:09:40
464
CHAWA WA MUNGU :
muache apambane apate cha kuwambia watoto wake .
2026-09-23 09:32:59
150
Mutembei Motors :
chakufanya ili ayo machozi yasiwe ya Bure wawekee Umeme sisi tutachangia tuu
2026-09-23 09:23:57
1079
kusigirl1 :
Basi tufanye kitu jamani😭😭 inaumizasana tumsaidie sina uwezo mkuwa naamini tukiungana tutafanya kitu🤦♀️
2026-09-23 09:43:24
168
dionisipludes :
yeah tumsaidie pleas
2026-09-23 20:34:47
0
esther :
tanesco msaidieni uyu mtoto apate umeme
2026-09-23 10:01:59
56
Jr junior :
Kaka Kwani kuweka Umeme si 300000 tu,Ebu tufanye mchakato Tutoe Sadaka hii,Tumuwekee Umeme hapo kwao Kaka.
please Tuliona hii Clip tumsaidie huyu mtoto na familia yake,Maana maisha hatufanani Ndugu zangu🙏
2026-09-23 09:55:15
120
A I :
wafungie umeme tu kaka.
2026-09-23 09:50:53
77
Mr umeme :
nunua vifaa kaka tuje kufanya installation tumsaidie
2026-09-23 09:56:07
35
Vanilla-55 :
May Father Almighty bless her 🙏🙏,atafika mbali mno
2026-09-23 09:52:02
1
Dasenatz.28💕mrs🦋💎 :
daaah mungu amsaidie katika masomo yake jamnii duuh!
2026-09-23 09:19:06
289
Selemani philemone Cheliga :
mtoto wa watu anatafuta kesho yake iliyo njema na mungu ata mbariki tu naamini hivo
2026-09-23 10:19:37
349
DAUDI ISSAYA MAMASITA ❤️ :
muungie umee bro 🙏🙏🙏🙏
2026-09-23 19:30:44
0
Mwalimu Edmund B. Sospeter :
tuliopitia maisha haya, vitu hivi sio vigeni kwetu, hakika vilituimarisha na vinazidi kutuimarisha simply because we know exactly where we are coming from Jah bless our hustling
2026-09-23 11:31:52
1
fabby concrete :
watilie umeme bro
2026-09-23 12:23:44
0
amaynah23 :
Nyie nilipitia mengi sanaa lkn sikufikia huku Mungu mtie nguvu huyu
2026-09-23 09:42:34
18
Tatu knotles❤ :
nmeyapotia hayo maisha na nlikuwa nazimiwa taa wakinikuta wananifukuza 😭😭😭
2026-09-23 10:00:17
23
OTILE IPHONE DEALER :
God bless
2026-09-23 09:51:53
1
amonashtz :
Broo kaa uko vizurii fanya kusaport like familia
2026-09-23 09:45:38
20
mtoto wa baba :
mungu akampe hitaji la moyo wake
2026-09-23 09:41:04
16
user3459890014081 :
Mvutie umeme kwao jaman ni Jambo kubwa sana
2026-09-23 09:39:08
6
dazo art :
kama uwezo unao kawawekee umeme kwao utafanya poa bro
2026-09-23 09:54:29
15
rosemallya33 :
mnunulie sola
2026-09-23 10:23:35
6
Alison :
Wawekee umeme ila ukiwa unasubilia kufanya hivyo muite fundi awavushie waya wapata taa hata moja kutoka kwenye umeme wako kama lilivyo kugusa pia mtafute atoe no.ya baba ake tumsapot kwa kidogo chetu wapate umeme na sio pesa nyingi ni kma Tsh:3,60,000/:
2026-09-23 09:52:59
62
Monica T.G :
mnunulie hata solar , kama una hela kidogo mtt anapenda kusoma
2026-09-23 10:12:12
6
To see more videos from user @kadomediatz, please go to the Tikwm
homepage.