@coolnews24hrs: Enzi hizo ukikutana na hii Real Madrid, hazoeleki mtu! Kipigo cha goli 5 kilikuwa kama salamu tu. 💀⚪ Hii ndio ilikuwa ile Real Madrid ya kinyama. 👑🏆 Follow @coolnews24hrs For more 🙏⚽🏆 #realmadri̇d #Ronaldo #viralreels #Marcelo #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
Cool news 24hrs 🇺🇸🇹🇿🇰🇪
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 09:13:07 GMT
Music
Download
Comments
cate255 :
miss this Madrid
2026-09-23 10:22:19
0
kayonza jr :
sio kwa barcelona ya xavi iniesta leonel messi kaka
2026-09-23 10:06:21
2
INNOSKEE..., :
sio kwa barca ya luis suarez na alaba
2026-09-23 10:32:40
1
G55# :
hii ndo ilikuwa madrid sasa enzi izo ilikuwa ya moto
2026-09-23 12:14:29
1
Beka title* :
kawaulize madrid kuhusu hawa watu
2026-09-23 11:22:36
0
Tonney :
sio kwa hawa watu
2026-09-23 13:13:53
0
KASONGO Thug life :
ilikuwa nimoto🔥🔥🔥
2026-09-23 12:13:32
0
Brother Hood 💂♂️ :
2026-09-23 11:42:21
0
dickson :
Barca alikua anatamba ndan tu lakn UEFA ilikua ni ya Madrid siku zote bisheni na hapo UEFA Barca anasalenda
2026-09-23 13:08:17
0
Alex :
apo Kuna bale macero Ramos modric coutua na Ronald aisee ilikuwa hatal
2026-09-23 12:22:33
0
Tonney :
2026-09-23 13:14:28
0
Ivan Oscar :
wlikikufa tabo bila kwa mess
2026-09-23 13:36:35
0
Rafaeli boy :
🥰🥰🥰
2026-09-23 12:51:03
0
To see more videos from user @coolnews24hrs, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.