@julys037: 💖 KARIBU SANA UBUNGO KIBO! 💖 Wateja wangu wapendwa, tunawakaribisha kwa moyo wote kwenye duka letu lililopo Ubungo Kibo 🛍️✨ 👗 Tunauza nguo mbalimbali nzuri za kike 🩷 Tunauza pajama nzuri na zenye mitindo ✨ Mavazi ya kisasa, yenye ubora na yanayokufanya upendeze zaidi. Usipite bila kututembelea! 😍 Njoo uchague vazi lako unalolipenda. Tunakusubiri kwa furaha ❤️ 📍 Duka lipo: Ubungo Kibo 📞 Wasiliana nasi: 0792 698 373 🌸 Karibu sana, mteja wetu ni muhimu kwetu! 🛍️❤️

kibomba jeshi lamtu mmoja🥰😎
kibomba jeshi lamtu mmoja🥰😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 09:17:57 GMT
71750
4028
44
37

Music

Download

Comments

calvin.munuo6
Calvin Munuo :
bei gani my
2026-09-23 14:20:27
0
zanianyeku
🪷Ms.Zany🪷 :
hii nguo bby
2026-09-23 14:21:55
0
sophia.daniel705
It’s onyeka 🦋🦋 :
Nataka rangi hiyo napataje
2026-09-23 14:48:51
1
salma.salum424
salma salum :
nimependa mdogo wangu nitakuja dukani
2026-09-23 10:12:54
4
dicksonmlelwa507
DICK'S# BIKE#MBEYA :
kibomba jeshii hii nyimbo tumekuachia 🙌🙌
2026-09-25 04:38:00
0
victoriambisse
Mambise 🤍 :
you look so sweet [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-23 09:31:22
0
.bishara_tz
بشار🦋 :
Material gn?? Hii boss
2026-09-23 21:02:03
0
jojoneymar413
jojo neymar :
xhingp kibomb
2026-09-23 09:27:31
1
verrati53
VERRATTI_15 :
mchumba
2026-09-23 13:53:18
0
saraphina949
Ayra_Sarah🦋❤️ :
Nataka hiy gauni
2026-09-23 14:17:26
0
salmadukesalma
Salma duke Salma :
meitafta ionguo mbaka bc
2026-09-23 20:04:58
0
irineinnocent27
irineinnocent27 :
Ila mwenye huu wimbo akufikirie tu. unamfanyia promotion yakutosha
2026-09-24 07:38:57
0
itsninoh3
It’s~n.i.n.o.h🦋💕 :
Me nataka gauni ilo mahi wng
2026-09-23 21:01:13
0
officialkyando1
wiz quavo huncho :
chido point
2026-09-24 09:37:57
0
clarckson03
bidda.tz :
kumekucha 🙌🏾🔥🚀
2026-09-23 10:47:43
4
neykha1
ney chioma💵💸 :
umesukia wap da kibomba nmependa
2026-09-23 12:58:12
0
dotto.francis
Dotto Francis :
hiiio nguo nahitaji
2026-09-23 13:55:48
0
zuwesh_beauty
Zuwi accessories :
Kibo weee🔥
2026-09-23 09:40:51
0
.lovie296
# lovie❤️✨ :
Gauni kama lako shi ngap
2026-09-23 10:40:08
0
khadija.kazige4
its Dijah🫴🫶 :
apooo
2026-09-23 13:41:45
0
officialkyando1
wiz quavo huncho :
saw mama
2026-09-24 09:37:31
0
asha.joseph101
Asha Joseph :
jamni iyoo nguo🥰
2026-09-24 21:14:01
0
rey33494
rey :
nakupenda sana
2026-09-23 13:42:36
0
user5663135178819
#magrah official :
Sema we nikazuri bhn
2026-09-23 09:34:28
0
To see more videos from user @julys037, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About