kama uyo mkee ashaachwa n mumewe lakin ww ulizin nae kablaa ya kuwa hajapewa talakaa hap inakuwaje
2026-10-02 14:03:40
1
X Promise :
siwahi
2026-10-02 18:32:08
1
Abdy051 :
mh naijuwa iyo
2026-10-02 09:54:31
0
Taw love tz❣️🇹🇿 :
na vipi wale wanaochukua waume zawatu hukumuya toba yake ipoje nayy amuombe msamaha mkewake?
2026-10-02 12:18:24
0
yavuzi :
Mh Nika pigwa je anisamehetu
2026-10-02 13:12:59
1
Kassim Shabban :
Sielewi
2026-10-02 11:59:23
2
susha :
Akamuombe msamaha hapo sahihi
2026-10-02 10:05:44
1
adnan :
weee
2026-10-02 19:11:19
0
user5478016255687 :
touba inamuhusu Allah pekeye
2026-10-02 13:14:25
0
Rajabu Shabani :
je kwa mtu ambae hajafahamu kwamba yule alie zini nae ni mke wa mtu?
2026-10-02 18:53:08
0
Smart Catering 🍽️ :
khaaaa 😂😂
2026-10-02 13:37:52
0
Salim maryush :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-02 15:09:02
0
Muba Chilundu :
amejibu vzurI
2026-10-02 11:52:26
0
Khamisc687 :
hihadithi hiyo
2026-10-02 08:56:54
0
💕Ukhty Zay 💕 :
kifupi ni zinaa ni dhambi tuache haijalishi mke au mume wamtu
2026-10-02 15:59:50
0
Abasi Buda :
Nimewahi kusikia Shekh moja akisema toba yake kumtolea sana kwa sana
2026-10-02 15:00:09
0
user8182312941519 :
hapana hajajibu uzur sheriya Allah ameshaiyeka (1 nilazima kweli ukaombe msamaha kukusamehe ama kutokusamehe ilo jengine pilii huku ni ya mzimifi 🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭
2026-10-02 20:10:56
0
12345 :
Subhanaallah
2026-10-02 09:24:17
0
tahiya :
umeeleweka vizuri sana
2026-10-02 09:46:28
0
Shery Rm😍 :
Na mume wa mtu je au ndo nyie wakamilifu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 16:21:42
0
Sadam Issa :
😂😂we unaweza kwenda kuomba msamaha ivo😂
2026-10-02 14:04:26
1
mtoto wa mbezi :
Yani ni bora mumalizane duniani ikifika kesho kwa mungu akiwa mume wa mtu hajui hukmu yke anapewa fursa achukue thawabu zako anazozitaka yeye na dhambi zake unaweza ukazibeba ww zote
2026-10-02 10:45:55
0
Mbembesi Silay :
kiukweli sheria hii ya kidini mi naona kama imewekwa kiwivuwivu kwasababu ili usisubutu kuchukua mke wa mwenyewe na ukamkaribie kumueleza nimekutombea mkeo nisamehe na mpanga umeunoa umkabizi achukue sheria mkononi au akusamehe we unaweza.
2026-10-02 09:55:15
0
To see more videos from user @africatv.2, please go to the Tikwm
homepage.