@islamic_rihla: Ndoa sio kukosa changamoto kabisa; wakati mwingine mke anaweza kuwa sehemu ya furaha na utulivu wa mume wake baada ya misukosuko ya maisha. Allah amewawekea wanandoa katika ndoa utulivu, mapenzi na rehema. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI 🔸Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yenye kujenga ndoa, familia na imani. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Ndoa #Familia #Mawaidha 🟠 FOLLOW US