mwamba anapambania uhai wa binadamu mwenzake kama vile ni wa kwake saluti sana kwa dere wakuu😁😁
2026-09-24 08:23:24
264
Manywere No 1 :
uo derevaa ndo Mimi apa
2026-09-24 14:25:00
1
Alex Mallya257 :
mwanangu 1Hz sio ya kuiamini kwenye brake unawez pita na yte ila kumbuka change down
2026-09-24 05:56:58
48
mtani samwel :
mwamba alikuwa hajui kama kafika
2026-09-24 07:18:18
43
simba :
the man yupo good 👍
2026-09-24 08:54:09
1
Chombs :
2026-09-24 04:00:00
40
ROMBIDZAY :
just imagine angekuwa ana drift 😂😂
2026-09-24 18:37:31
0
MEDY 💫 :
weka tuweke 😁
2026-09-24 11:30:11
0
iryham :
ambulance au ambulancia? hii kali
2026-09-24 16:24:24
0
user5614921173360 :
baadhi ya madereva wa hizi gari za kubebea wagonjwa inatakiwa watambue Kuna sehemu ya speed na kunasehemu ya mwendo mdogo kwa usalama wa mgonjwa,wauguzi na dereva mwenyewe
2026-09-24 06:01:42
11
Joseph :
derev amesahau hospital ilipo
2026-09-24 07:02:26
16
Suba Brown :
Hiyo lazima mgonjwa apate nafuu😂😂💪👍
2026-09-24 13:02:33
5
mr karim💪 :
uyoo kyma mbona anaakilii kam zangh🔥🔥🔥😂 salam zangu kwakee
2026-09-24 05:01:57
13
Tom Naabona :
Na king'ola kazima. Dereva mzuri
2026-09-24 08:05:03
4
ndege :
serikali ifanye kidg ambulance iwe lc200
2026-09-24 11:17:51
6
Abuu22201 :
Huyo dereva wa mkataba au
2026-09-24 05:48:10
4
the one :
uyu mimi kabisa🤣🤣🤣
2026-09-24 06:31:57
4
songo :
asant deleva
2026-09-24 04:45:38
5
kachala :
oya 1HZ hiyo babu break kinandaaah
2026-09-24 05:07:01
5
Balozi_keaoshencargo :
salute kwake kupambania uhai wa raia 🔥🔥🔥
2026-09-24 08:46:44
2
ramajr🛣️ :
mwanangu wa Rufaa😂🔥🔥🔥🔥
2026-09-24 05:24:51
4
Jackson Benson :
uyu ndo dereva sasa
2026-09-24 06:36:15
1
Allen mapigo :
mbona kama mim 1Hz umeme tikisa
2026-09-24 10:56:40
1
7/7/2026 :
ni wangiri tu,mgonjwa atapona
2026-09-24 06:58:09
1
To see more videos from user @husbillion, please go to the Tikwm
homepage.