@isaiahallan173: SHULE YA MSINGI NYAKAHAMA KUMEKUCHA🤣🤣🤣

Isaiah Allan 🇹🇿
Isaiah Allan 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 09:44:57 GMT
135781
3932
927
1812

Music

Download

Comments

helena.nchimbi8
Nchimbi Hellicious :
eliud uko wap njoo uone finalist wakiha😆
2026-09-23 17:51:39
1
mimaj474
mima...J🌹🌹 :
kwhy sare ni poch ety[Tears of joy]
2026-09-23 12:32:53
3
sanjujalina
jalina 151 :
sasa pochi za nn
2026-09-23 11:50:48
247
marymasule8
marymasule582 :
kabila langu Kuna muda ni ngumu kulitetea😂😂😂,,apa nahojiwa na rafik zangu,wananiuliza sa mikoba ni ya nn???😂😂💔😌
2026-09-23 12:13:18
125
lucy.chriss
😘 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]vibeeee
2026-09-23 18:05:09
2
mkapaprotase
mkapa protase :
maana vibiti vimechachuka [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 14:40:30
0
sheillahndaile
doreen & nashfat😘 :
izo super black tunamsubilia eliudi afanye yake[Tears of joy]
2026-09-23 12:03:19
23
babedee47
dee 🍒🧸🍒 :
Ivo vinainai ndo sare 😂
2026-09-23 19:20:19
0
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Nashkr 2014 hakukua na TikTok sijui sasa hv ningeongea nini mimi [Tears of joy]
2026-09-23 18:58:38
2
ney_rais
Neema :
Me ndio niliewaremba kichwanii😁
2026-09-23 17:10:50
20
user1274370422583
aneth henry :
kwan waliambiwa ni lazima kwenda na pochi au
2026-09-23 12:53:56
30
wema.michael0
Miss M :
hahaha yaani ni kama wanaenda clinic
2026-09-23 17:57:02
5
bayte__collection
bayte__collection :
Ma pochi tena eeeh[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 15:46:24
7
rebecah373
Binti Lonesi accessories 💎🛍️ :
My baby Odo😂❤️❤️
2026-09-23 12:06:12
20
christopher.juman
Christopher Jumanne :
kwa mala ya kwnza kuona darasa la saba wakubwa namna hii mala ya misho kuona darasa la saba wakubwa ilikuwa 2008
2026-09-23 13:19:57
20
ashay.bby
Ashay bby :
mmmh shida imeenzia kwenye pochi
2026-09-23 12:07:05
15
naissy39
Tina mitindo :
nimejikuta nacheka mpaka nimepaliwa ila maisha ya primary
2026-09-23 10:50:52
23
user7106951263328
user7106951263328 :
Tuliosoma shule za hivyo hatuoni cha ajabu wama cha kuchekesha
2026-09-23 14:59:48
17
mamu2156
𝓈𝒽𝓌𝒶𝓉𝓎 💞😊 :
pochi na daleki lzm wanadarasa jmn ,,,,ili tukiamsheee sawa ,,mm Kama montress 😂😂
2026-09-23 13:04:40
6
miss.a383
Miss “A” :
Hawa wambele itakuwa ndo walikuwa masuper star washule[Tears of joy]
2026-09-23 12:52:29
10
user67934326281482
Rhoda D🥰 :
wanakamati mmepitishaje pochi jamani😂😂😂😂
2026-09-23 10:23:25
6
usersarahbeauty3
SD :
hv tukiwa primary ni ujinga gan tunakuwa nazo kichwani jamani 😂😂😂
2026-09-23 12:54:51
6
nailestadei
Nailes Tadei :
So kwahizo pochi jamani😂😂😂😂
2026-09-23 11:41:55
5
anitarobert775
Baby ♥️Anita :
jamani eliudi uko wap uje uku😅😅
2026-09-23 17:48:12
0
user16224736810394
boss mtoto :
eliud upo wapi watu wako.uku wamekujs
2026-09-23 16:32:29
0
To see more videos from user @isaiahallan173, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About