@chiefgodlovetycoon:

chiefgodlovetycoon
chiefgodlovetycoon
Open In TikTok:
Region: UG
Wednesday 23 September 2026 09:56:44 GMT
454604
42719
2124
1293

Music

Download

Comments

user5043727962183
user5043727962183 :
nataman niione hiyo video ya ambwene
2026-09-23 12:32:51
107
shedrackpeter969
Shedrack Osborn :
Tunakusubiri Huku Kaka Yesu anakupenda
2026-09-23 10:46:07
888
officialdax99
§TR££T B🅾️¥ :
Kaka usirudishe nikwamoto ukuu🔥🔥🙌🏻
2026-09-23 12:21:43
296
ednahphillbert.sa
@Official Dinah🦋🌻🌻 :
Nlichompendea huyu kaka anabusara San Kwa Watumishi Wa Mungu
2026-09-23 10:22:26
1289
prosperity9121
Prosper😜 :
ivi aya mambo yako serious kumbe😳😳
2026-09-23 10:26:34
168
nancyrichard123
Nancy :
oyaaa wee Mungu yupo jamani nimeamini😭😭
2026-09-23 10:49:21
627
faijalajoseph7
faraja Tz :
Acha nikomae na bodaboda yangu maisha ya pesa bila amani siyawezi😏
2026-09-23 13:40:59
55
wegapaskalina
paskalina :
sijuwi kwa nini watoto wa wachungaji tunapita magumu tunawaangusha baba zetu
2026-09-23 11:56:32
141
neydaqueen123
❤️❤️❤️❤️❤️ :
hiyo busara ni ya hali ya juu🥰🥰
2026-09-23 10:37:44
142
madmox438
MARTINEZ-$ :
This is pure GOD'S WISDOM
2026-09-23 11:21:53
120
randysmets
Randy :
This side of you is beautiful my brother. Call upon the lord.
2026-09-25 16:41:40
0
wizzyeddy1
Wizzy Eddy :
amini bado una hofu ya mungu weewe ludi tu kwa mungu hera ushapata kaka 😭😭😭😭😭😭
2026-09-23 10:07:26
174
hussein12gmail.com4
Hussein jr Tz💪🦾☠️☠️ :
CHIEF NI MTU AMBAE NAHISI ANAMPENDA MUNGU SANA BASI TU MAISHA ILA MUNGU IPO SIKU ATAMPA NJIA MPYA 💯💯💯
2026-09-23 10:16:37
36
mumelly2
salma🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦 :
Nimeamini mungu Ako aki,,may God make a easy way for you chief
2026-09-25 13:35:33
0
djcofmo
MR COFMO💠 :
OYA MTAAN KWA MOTO USIRUDISHE😅🔥
2026-09-23 15:19:38
104
lukhu.ben
Lukhu Ben :
[Crying][Crying][Crying]mtoto wetu jamani mweee
2026-09-25 06:11:57
0
calvinkleintozzy
Calvin Klein Tozzy :
God is trust kaka🫀
2026-09-25 13:05:07
0
mighty_kodero_magambo
LIGHT ⚡️𓋹 :
The devil so rich...
2026-09-25 17:13:01
0
dinasylivester
Dina kagina :
Hapa m najifunza tuwalee watoto katika njia impasayo Mungu, hata akiasi Hawezi kujisahau, chief kinachompa kua Na hofu ya Mungu n malezi ya mwanzo kutoka kwa wazaz
2026-09-24 09:41:45
7
user447580810338
Damar :
YESU atakupa vingine rudii tuu
2026-09-23 11:31:31
78
rare_gem92
Rare_Gem💎 :
Niliwaambia watu Mungu akikupenda ana uwezo wa kuisimamisha dunia kwa ajili yako na Dunia ikatii, Godlove anapendwa sana na Mungu na ninachojua amepewa influence ili kuja kuwakomboa vijana wengi sana ni maombi yangu Mungu aufinyange moyo wako na uiendee toba ya kweli wakati ni sasa
2026-09-23 11:25:10
81
ezechisndambire8gmail.c
Jésus vivifie🙏 :
Nime mfatilia amwene kumbe ana imba vizuri tu
2026-09-23 11:39:24
29
gonzaga.0.5
gonzagá :
Vitu vinaweza kurudishwa shida ni kama kuna uhai uliudhurumu utaurudisha 😭 Mungu tusaidie
2026-09-23 10:32:02
46
aldo_michael255
Aldo_Michael :
amini bado una hofu ya mungu weewe ludi tu kwa mungu hera ushapata kaka 😭😭😭😭😭😭
2026-09-23 10:53:36
54
bsjchanila
BsJchanila✌️ :
Mbona Yeye Ambwene Mtumishi wa Mungu ana pesa na maisha mazuri tu pamoja na kuwa unaaamini watu wanaomtumikia Mungu wana maisha duni??? Mungu ndiye hutoa utajiri but Nafsi ya Mtu kwa Mungu ni muhimu na ya thamani kuliko Utajiri!
2026-09-23 12:00:41
98
To see more videos from user @chiefgodlovetycoon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About