@guvuyakitaa: Video iliyobadilisha maisha ya mtoto na wazazi wake

nguvu yakitaa
nguvu yakitaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 10:00:40 GMT
358542
27816
459
365

Music

Download

Comments

juma.565c
JUMA...... :
kumbe hiii voice niya huyu dogo 😳😳😳😳
2026-09-23 17:53:00
2
mchoxcollection
Mchox Collection :
Aya icho ndo anachoimba
2026-09-23 16:28:23
71
daviddenis342
PALESTINE :
Wimbo huu unavuta hisia za Tanzania duh! Anasema hi gjsksbbzmzm jdndnmzdvjn jnsnsnmdzbjnnmz ks
2026-09-23 20:29:53
1
genz.official35
genz.official 🍒♻️ :
afu uwong mi spend
2026-09-23 20:45:53
1
fadian100
Fadian :
kaimba cha maana Sana na ukizingatia dunia inavoenda
2026-09-23 15:26:03
170
suzy26162
suzy :
daaaah inahuzunishaaa kweliii...
2026-09-23 17:00:41
2
subydecute3
suuhdecute😘 :
tulio rudia zaidi ya mara tatu tujuane😊
2026-09-23 12:52:59
244
user6563255561190
Tanasha💕💕 :
nimejikuta nalia sa sijui km wa kuhuzunisha au wa furaha😅😅😅😅
2026-09-23 13:51:57
67
lyoll0
@𝚄𝚛𝚕𝚘𝚟𝚎.𝚕𝚎𝚢 :
𝚖𝚞𝚌𝚑 𝚕𝚘𝚟𝚎 𝚏𝚛𝚘𝚖 𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊🇰🇪
2026-09-23 12:47:22
3
demonvoice89
MSALITI :
Wimbo unahusu Kilimo Niamini mimi
2026-09-23 17:58:21
12
bussy948
it's yusco😎 :
ujumbe wake mzur sana
2026-09-23 12:07:49
46
konkatz232816131496
Konka Tz 🤙❤️‍🔥 :
Very nice 👍👍🙂❤️❤️❤️❤️
2026-09-23 14:02:46
2
chi.maina
chi🥰 maina :
😂 Sijaelewa ila nimependa❤️🥰
2026-09-23 11:54:58
21
user5225777712435
Joyce kakai :
hii nyimbo imebeba uwalisia wa maisha yangu jaman😭😭😭
2026-09-23 15:33:45
10
baletz86
Bale@Tz🇮🇷 🚚🚒 :
kaimba vizur sanaa👏👏 ''Tulinde migogo yetuu" ndo maana yakeè
2026-09-23 19:14:44
10
khushi_nana
nana :
sisi tunaimba nyimbo za wasanii na maisha yetu hayabadiliki
2026-09-23 17:04:05
6
marymu9424
Cute Mamu :
sijui maan ake Lakin adi nimesiiimka mwili 🥰
2026-09-23 12:32:36
30
damaya0627
damaya😍 :
watoto wetu sasa wanaimba na kucheza maisha yapo vilevile
2026-09-23 13:57:00
10
asake.43
asake.43 :
inahus nn hii nyimbo mbona naisikiliza roho inauma
2026-09-23 16:05:50
7
nomytoto
Dolphin🐬 :
yaan huu mwimbo umenikumbushaa mbali sanaa unahusu kilimo
2026-09-23 17:43:01
6
dachi.poiz
𝑫𝒂𝒄𝒉𝒊 𝒑𝒐𝒊𝒛⚡🦡 :
hapo anazungumzia al nino kwawale msio elewa
2026-09-23 12:49:06
16
mr.shine72
mr.shine :
dha! hii nyimbo ina ujumbe mzito kwa kweli nimeielewa [Big LOL]
2026-09-23 13:26:24
13
user5995768146513
win sushion😍 :
Atari sana🔥
2026-09-23 11:35:52
11
fasalumiale
شمس ابن مكنونى :
ujumbe unamaanisha maisha magumu ya watu wanaopita kwenye tabaka la chini migodini
2026-09-23 12:38:47
7
user869275317534kibali
KIBALI HALISI BUSINESS :
Wakati wa Mungu ni sahii🫶🫶🙏
2026-09-23 20:43:30
2
To see more videos from user @guvuyakitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About