@luluwhite272: NINA KITU NAOMBA NISIKILIZWE TAFADHALI

LULU WHITE
LULU WHITE
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 10:17:44 GMT
50974
4537
225
153

Music

Download

Comments

mrs___muu
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
sin iphone at 1 na nmetulia veep
2026-09-23 12:41:34
19
kaumbya6
Daughter🇹🇿😘🇮🇷 :
wangapi tunatamba na simu zetu ambazo azina ata majina lakini.tumejinunulia kwajasho😂😂😂
2026-09-23 11:38:29
59
fairich4
Fairich ❤️ :
nipo apa na tecno pop 8 🫣😥niliyojinunulia kwenye birthday yangu mwaka 2024 Hadi leo😂🙌
2026-09-23 10:33:40
55
salma.ndumai
Salma Ndumai :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mbona kuziponza
2026-09-23 12:26:13
1
user31301788342872
Avitii syliverius :
surely sister
2026-09-23 11:54:42
0
mimah.qute3
Mimah Qute ❤️🍯🦋🦋👏❣️ :
Kwel umeongea me ngoja nibak na Samsung yangu A07😂😂
2026-09-23 11:18:24
26
vinahcus
Vinahcus :
Big up da lulu
2026-09-23 11:01:34
1
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Waambie hao tukiwaambia sisi tunaambiwa tuna wivu
2026-09-23 10:29:30
11
jamilasuleiman
Jamila Collection 🥰 :
Hiii Imeendaaa 🙌🙌
2026-09-24 01:34:41
0
_lanie_01_
LANIE💫🤎 :
wakati simu huaribika 😂😂
2026-09-23 14:21:49
5
sophiakapanya
Sophia Kapanya💦 :
wenye sim zetyu za yas tujuane hapa
2026-09-23 12:22:55
9
usercb3l2kj1ea
🌹🌹Ma Jewel😊💃💃 :
very true Lulu
2026-09-23 15:10:59
0
jenty482
Drinks&Bites :
Umeongea point kipenzi japo kuna watu watapinga hoja yako
2026-09-23 11:07:18
14
dorah.bertha
Dorah Bertha :
me nipo zangu na A05 nasina wasiwasi 😂
2026-09-23 15:45:15
9
haikadickson845
queen of lover🥰 :
asante Mungu na samsung yangu s9
2026-09-23 11:26:38
7
user23095756361831
joreeh official :
yan da lulu me nakupenda kuliko kawaida yani
2026-09-23 10:49:31
8
haulesh5
haulesh :
dada umeonge point 🔥🔥🔥
2026-09-23 11:39:39
6
helenacharles22
helenacharles211 :
Asante
2026-09-23 13:45:30
0
ashachinga1
ashachinga :
kweli dada
2026-09-23 10:31:20
6
the.empress.rabek
The Empress Rabekitta 🔱👑 :
Samsung A02 na nina Amani kabisaa, injini zetu zipo sawaa MILLENIUM OYEEE
2026-09-24 01:32:16
0
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Lulu sio kila anaeishi maisha mazuri anafilwa lulu kuna watu wamezaliwa na bahati zao mtu hafilani lkn ana sm kali anakaa nyumba kali me binafsi yangu swz kutumia kitu kibaya eti kisa watu wanasema nina tamaa Uzuri lizk zangu navyozipata najua mwenyew
2026-09-23 20:19:45
2
marykisokafuniture
Mary-kisoka90🌹 :
Nina simu yangu mwaka wa tatu Wala cjali😂
2026-09-23 20:59:42
0
user1994418105982
ms03 :
ata habar sina kwa Samsung yangu mpaka ivunjike ndo nifikirie tena, labda nipewe na mzee lkn kwa mm hahaha😅
2026-09-23 14:08:50
0
tiffany.com3035
tiffany :
Nina ki iphone7 kangu sio shida zangu
2026-09-23 12:26:03
3
lisacollection8
lisa collection🌸 :
2026-09-23 11:23:16
0
To see more videos from user @luluwhite272, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About