@islamicswahilinet: ACHA KUBADILISHA MAUMBILE YA MWENYEZI MUNGU Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 10:20:25 GMT
Music
Download
Comments
❤️فاطمة❤️ :
[Shy][Snicker][Facepalm]Allahu yarab [Pray]
2026-09-23 16:30:05
0
Grace💫 :
me ni mkrist ila napend san kusikiliz mawaidha ya huy shekhe ila namwomb san mung atupe mwish mwem[Pray]
2026-09-23 17:12:51
30
Fatuma Saidy :
Allah tupe mwisho mwema
2026-09-24 05:33:04
7
Shammy shamsyy💞💋💋🫶❤️🩹 :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-09-24 05:26:03
2
allymichu117 :
Allh tusemehe mazambi yetu
2026-09-23 12:54:34
10
Fahyma :
Sasa kuweka wanja nayo ni dhambi?😳
2026-09-24 04:37:41
1
🌸Anzazi🌺❤️ :
Mwenyezi Mungu atusamehe makosa yetu ya dhahir na yasiyokua ya dhahir🤲.
2026-09-23 11:02:20
11
rey a89 :
ya allah twakuomba utusamehe madhambi yetu
2026-09-24 05:57:09
2
zita issaya :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-23 12:52:33
5
bisanati💗💗 :
Subhanallah Allah atujalie mwisho mwem
2026-09-23 12:53:50
3
Khadija Jfour :
Mung Atusaidie jaman
2026-09-23 13:27:16
2
fridhous :
ameen
2026-09-23 15:52:07
2
Mum Rasta :
allah atusamehe mazambi yetu
2026-09-23 14:25:52
1
CHEED BOY😍😍 :
Allah
2026-09-23 11:25:05
2
Tanga_Traders :
Allah atusameh
2026-09-23 12:32:16
1
kihiyo zayumba :
ALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA YARAHBI
2026-09-23 13:16:26
1
shukranisalumu :
mungu atusame
2026-09-23 11:56:35
1
zuuu :
mashallah ostadhi
2026-09-23 20:19:58
1
🦋🌹Shakira 🥰🥰🌹 :
subhanallah
2026-09-23 12:15:12
1
Mastura :
allhammdullah nashkuru Allah Kwa alivoniumba
2026-09-24 04:16:31
1
Najma Alii :
allah atujalie mwisho mwema
2026-09-23 12:00:10
1
princess mirah :
mungu atusamehee
2026-09-23 10:44:24
1
Lilian Msacky :
mungu tusamehe
2026-09-23 18:19:27
1
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
سبحان الله
2026-09-23 18:30:18
1
TheHijabyjournalist :
Yaraby tusamehe waja wako na utuongoze😭😭😭🤲🏻
2026-09-23 20:36:16
2
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.