@nyarubanda_pharmacy: 🧴 1. Vaseline Intensive Care Cocoa Radiant * Ina cocoa butter na petroleum jelly. * Husaidia ngozi kavu kuwa laini na yenye unyevunyevu. * Hufanya ngozi ionekane glowing bila kuhitaji kuichubua. * Inafaa sana kwa mwili. 💧 3. Vaseline Gluta-Hya * Mara nyingi ina glutathione + hyaluronic acid kulingana na toleo. * Husaidia kuongeza hydration na kufanya ngozi ionekane brighter. * Kuna versions tofauti kulingana na nchi, hivyo ni vizuri kuangalia ingredients kwenye chupa. #vaseline #skincareroutine #skincare #nyarubandapharmacy #kigoma