kwa heshima mungu atusaidie kwenye mapito tunayo pitia 🙏🙏🙏
2026-09-23 18:05:05
68
Sweet Marggy princess marggyyy :
I'm here now 💔💔😭😭😭😭
2026-09-27 02:44:49
0
LOVENESS🥰 :
ndio ali ninayo pitia kwasasa mm😳😳
2026-09-24 03:48:17
32
adivesta :
jaman ndugu zangu mnabonyeza ngapi kupata mimba,nataman kuacha ndoa ila kinachoniliza zaidi ni mme wangu licha ya kukaa mda mrefu hajawah nitukana wala kunipiga na ukweni wananiambia vumilia tu wakati wa MUNGU ni sahihi huu upendo wao kwangu unanifanya nijishitukie kila siku hajawah kuniumiza wala kuniliza sijawah kumfumania kwa sms wala live tuko vizuri mambo yake yote ananishilikisha ee MUNGU SIWEZI SEMA YOTE ILA NAHITAJI BARAKA YAKO INIDONDOKEE MACHOZI ASIWE RAFIKI YANGU YA KALIBU KULIKO WEWE
2026-09-24 12:04:19
8
E.N.G.+254 :
hatukuwepo mnavo tongozana
2026-09-23 15:19:26
8
akida 1992 :
mungu atufanyie wepes kwa jambo
2026-09-24 06:54:29
6
Mrs JJ Kyando :
Kabla hujalala soma zabur ya 91 yote na 142 yote amini utalala my dear
2026-09-25 07:09:52
8
miss remmy :
somedays backs 😥😥😥😥
2026-09-24 09:49:50
1
faitheveryday :
mm hapa nimechoka kuumiza moyo wangu sijuwi nifanye nn.
2026-09-23 16:52:48
9
Zackii❣❣ :
Ooh lord heals our silence pain😥🥺
2026-09-24 17:00:13
3
Ashura Sababu :
nikweli kabisa hata mm mchana najifariji kwa kucheka lkn usiku maumivu na kulia yapo pale pale
2026-09-24 09:16:56
5
✨🦋zarry Kenya🇰🇪 :
mungu rudisha Ile hamu ya kukuomba Kila siku aki naumia 😭😭😭
2026-09-24 19:51:16
4
Faith rose :
mbne kama wanisema mm yni mtu unalia kwa maumivu makalii hdi mtu akiuliza walia nn washindwa pakuanzia Eeh Mungu 😭😭😭😭😭
2026-09-25 03:21:34
1
Lizzie :
Huyu ni mimi kabisa Lakin tusije sahau MUNGU anatupenda muhim futa machozi, tabasam wewe ni mshindi
2026-09-24 16:37:04
3
Su tz :
duuuh poleni sana ndugu zangu mnao pitia maumivu makali na kipindi kigumu mwenyezimungu awaongoze na awasaidie muweze kusahau inshaallah
2026-09-25 13:56:08
1
Faith kendi :
my situation right now
2026-09-25 20:48:36
2
Never give up :
is not easy 😭😭😭
2026-09-23 19:15:09
2
@shatomdelamere6 :
Nilidhani Niko pekee yangu kwenye hili gurudumu, kumbe tu wengi? Mungu tukumbuke..
2026-09-23 21:34:08
1
anny mummy :
hio ndo hali napitia kwa sasa nalia hadi macho zinafura usingizi waniiba then saa kumi naamka tena nalia hadi kupambazuke[Crying][Crying][Pray][Pray]
2026-09-24 05:30:59
5
💕kamutee💝❣️❣️ :
jamani Kwan unanijua yaan kabsa I'm facing all this
2026-09-24 05:43:04
2
To see more videos from user @kidder.lux, please go to the Tikwm
homepage.