@islamicswahilinet: USIMTII MUME WAKO KATIKA KUMUASI MWENYEZI MUNGU Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 11:08:24 GMT
34102
3887
16
132

Music

Download

Comments

user4561303313260
@Dawini wakubress :
mungu
2026-09-24 08:32:13
0
khadija40278
its✨lady🦋khadijah❤ :
mm sisemi kitu
2026-09-23 14:53:14
2
zanzibar1980z
All is well :
mim sisemi kitu...
2026-09-23 11:46:02
3
user1686150973018
user1686150973018 :
Allah Atusamehe
2026-09-24 05:41:36
0
user9557022595213
user9557022595213 :
Allahu
2026-09-24 07:24:11
0
official_mtengwa_halisi
@OFFICIAL_MTENGWA HALISI :
💯💯💯
2026-09-23 11:13:19
1
nury1264jb
Nury :
👍💯
2026-09-24 05:29:40
0
tulylubuya
lebaron luboya 🇿🇦🇬🇧🇨🇩 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-23 11:25:37
0
issa.amadi3
Issa Amadi :
🥰🥰🥰
2026-09-23 21:12:37
0
abdinasir.hassan53
SIMBA ABDINASIR 🦁🦁🌟 :
[Power][Power][Power]
2026-09-23 15:43:43
0
captain__hajj
will_hajj_🕋 :
❤️❤️❤️
2026-09-23 14:34:14
0
nairobian_kissie
💋Kissie 💋 🎀 💋 :
😁😁😁
2026-09-24 04:39:11
0
junior.abdi8
Abu Dujana :
🥰🥰🥰
2026-09-23 11:16:52
0
djostare.like
DJOSTARE LIKE :
🥰🥰🥰
2026-09-23 11:13:49
0
mohaa7874
MOHAAA KHA-lLANIA :
🥰🥰🥰
2026-09-24 09:48:02
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About