@zebra_restaurant_: JINA:MDUARA WALI (CHOMA) hii inakua na mchanganyiko wa Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua, unapewa na sauce ya Biryani, njegere za Bluband na Special Recipe, Zebra Sambaro, Salad, na White sauce yenye secret recipe moja matata sana: Packages zinakua kama ifuatavyo:- WATU 5/6: BEI 65,000/= Hii inakua na kuku mmoja wa kisasa wa kuchoma, Mishkaki kumi na mbili (12) WATU 8/10: BEI 95,000 inakua na kuku wawili wa kisasa wa kuchoma, Mishkaki Ishirini (20) NOTE:Aina za Kuku Choma zilizopo ni Sekela, Ndimu, Ndimu Maziwa na shumashuma...unaruhusiwa kuchagua aina gani za kuku unataka kati ya hizo zilizotajwa. RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 3 USIKU, DELIVERY:Gharama za usafiri ni juu ya mteja na pia utalipia sinia sh 5,000 kwa ajili ya take away package) NAMBA ZA KUWEKA ODA NI: 0688 151783 0658 722393 0764 689647 0745 117440 WHATSAPP 0688 151783 TAFADHALI TUPIGIE, USITUME SMS ANGALIZO: ukiona tunachelewa kujibu whatsapp tafadhali tupigie kawaida kupata huduma yako kwa uharaka.
ZEBRA RESTAURANT
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 11:31:26 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm
homepage.