@kiswahilitvonline: Hizo zote ni nyimbo za msanii Indila, lakini moja ya wimbo pekee uliompa umaarufu mkubwa ni, "Dernière danse", ambao ulitoka rasmi mwishoni mwa mwaka 2013. Ukawa utambulisho mkubwa wa albamu yake ya kwanza iliyoitwa Mini World, iliyotoka mnamo Februari 2014 na kupata mafanikio makubwa sana duniani kote. Ingawa albamu hiyo iliuza mamilioni ya nakala, jambo la kushangaza Indila, hakuwahi kufanya hata tamasha moja la mziki (concert tour) maishani mwake, akichagua kuishi maisha ya siri mbali na jukwaa na vyombo vya habari. Hata hivyo, ukimya huo mrefu wa miaka mingi unakaribia kufikia kikomo hivi karibuni! Taarifa za uhakika kutoka kwa watu wake wa karibu zinathibitisha kuwa albamu yake ya pili imekamilika kabisa na iko tayari kuachiwa muda wowote kuanzia sasa. Safari hii Indila anakuja kivingine kabisa, kwani maandalizi ya ujio huu mpya yanaenda sambamba na mpango wa kufanya ziara yake ya kwanza kabisa ya matamasha duniani, jambo linalosubiriwa kwa shauku kubwa na mamilioni ya mashabiki wake waliomkumbuka.
kiswahili Tv
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 11:48:40 GMT
Music
Download
Comments
Thiago_mota ⚽️💦 :
Nan kakwambia indila sio maarufu mzee😅
2026-09-23 12:30:50
229
attuy :
nyimbo zake ninazo penda
1.Love story
2.Ans bala Vida
3.Dense
2026-09-23 18:55:20
38
MAOMBI ELECTRONICS ⚡ :
LYRICS AND MELODY GOT NO DIFFERENT
2026-09-25 11:24:05
0
babab21🎮🕹⚽️🥇🎖🏅 :
indle love story n balaa
2026-09-24 04:00:14
1
Allcardy :
mi ninazo haswa love story naikubali kinoma licha ya kua sijui kingereza
2026-09-24 05:16:43
64
bbp jahbless :
all in my play list except the last one😳
2026-09-23 20:27:47
0
udaah nonda 💝 :
me nina love story
2026-09-24 08:51:54
0
leonorah💢 :
kuna hii ya dance
2026-09-24 09:46:05
1
Momove💞 :
Karibia zote nazijua kasoro yy😂
2026-09-23 23:35:11
84
erick derp :
si ipo kwenye efootball 😁😁😁😁
2026-09-23 12:19:02
101
AmosLLL :
underrated one
2026-09-24 20:03:33
0
2.RPM :
indla love story ni bonge la song
2026-09-24 05:50:00
15
Lizziem :
Indila love story…❤️
2026-09-24 18:26:53
1
Bwanamalundi9🇹🇿 :
Sio maarufu kwa waswahili😅😅😅
2026-09-23 19:52:37
14
C7osure🚫🚫 :
Jina lake
2026-09-23 17:31:22
11
TEE :
ndy inavyotakiwa hvy
2026-09-23 14:11:08
13
Maya Maia :
Kweli mim izi nyimbo zote nazipenda mno Ila ukinambia kaimba Nani simjui
2026-09-23 19:00:39
10
crowd_saint :
Sio maharufu tanzania tu bro
2026-09-23 18:21:24
7
CHANK spider 🕸️🤟🐐 :
indila is better
2026-09-23 18:24:47
5
💞🐇NONI✓FAHD🐬🇸🇦 :
aski bala vida nikiipiga Ngoma hii najiona mim km ndio sterling wa move 😂
2026-09-24 22:03:41
3
icon🕯️ :
saingine wewe ndo umjui
2026-09-23 18:25:52
3
MuuN! $marT :
nitumie jina ya nyimbo ya pili na ya tatu na ya kwanza
2026-09-23 18:11:57
1
kimura kenshin :
huyu anajulikana. ila pia kuna tatiana kurtukova😅
2026-09-23 19:52:11
2
꧁𝐃𝐀 𝐘𝐔𝐔 𝐌𝐄𝐋𝐀𝐍𝐈𝐍꧂ :
iyo ya pili iyo nd nymb yng pendwa km maji
2026-09-25 16:09:51
1
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm
homepage.