sasa Nina miaka 30 na sijui wanapga vp kura man naona ujinga tu
2026-09-24 17:30:12
0
H_mkoa :
wapi apo
2026-09-24 09:52:02
0
Victor Kessy :
Hongereni sana ndugu zangu, sasa kukodi Fremu, Lipa kodi na fanya biashara kwa uhuru
2026-09-24 04:53:22
3
Ubaya56 :
sehemu nyingi zimesafishwa kwa kuvunja vibanda barabarani na maeneo yasiyo rasmi kwa kufanya biashara bado mbezi
2026-09-24 10:04:44
1
gody chambuu :
Ni jitihada za kuweka tanzania yenye utaratibu mzuri
2026-09-24 11:51:33
4
Kimath Lello :
Mlisemaga walioandamana walikuwa wahunie?
2026-09-24 14:20:05
1
raaj1998_4 :
Mnaopost Toeni Taarifa Kamili kua Watu wamelishwa Laki mbili kwa ajili ya Meza na watu wametoa pesa Nyingi sana wakiamini watakua huru Sasaiv Ata miez 3 bado wnawaambia watu waondoje hii imekaaje,, Au wanataka watuue Na njaa!!!
2026-09-24 13:14:25
2
Suzana :
pole sana imeniuma sanaa
2026-09-23 17:51:05
0
Peter Bernado :
poleni mungu atawasaidia
2026-09-24 06:19:47
0
Nuru Mama nuru :
polenindungu zangu
2026-09-24 04:49:08
0
Abdulfatah Yahya :
dah poleni sanaa tunanyanyaswa sana kwakwel tunamkumbuka magufuli
2026-09-24 10:02:54
1
Noel Swai :
Wapi apo 🤔
2026-09-23 17:42:26
0
Noel Kaaya :
safi sana. mitano tena mpaka tuwe na akili
2026-09-24 00:00:11
2
Victor Kessy :
2026-09-24 04:54:07
1
hamisi gabwa :
ayo ndio maisha yetu tutamkumbuka sana alisema
2026-09-24 06:03:00
7
*@Õffïçïål_Sõñgõlõ_Tz🇹🇿👈* :
Mama anataka mji uwe safiii
2026-09-24 23:41:21
0
dazo art :
daaaaaaaaaaaaaaaah😭😭😭💔
2026-09-24 20:06:35
0
chande :
aisee maeneo gani ? huzuni mkubwa
2026-09-24 19:58:58
0
BIG BROTHER CUT :
hiyo leo hiyo
2026-09-24 19:38:58
0
January Mwananyama :
polen.xana ndugu na malafiki
2026-09-24 20:06:46
0
Maiko Chacha :
eee basi 2
2026-09-24 07:10:45
0
To see more videos from user @neemarobert6, please go to the Tikwm
homepage.