@msfetty198:

Ms_fetty198
Ms_fetty198
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 12:00:31 GMT
22420
1154
90
61

Music

Download

Comments

kashybaha
Kashy🦋 :
Mi mwenyewe ni mwanamke ila huwa sielewi iyo kila kitu huwa ni kitu gani 😂😂😂
2026-09-26 15:57:43
16
justimpwj49
nestis saint :
ifike muda sasaaa wanawake tujitambue na tujue kujichagua kwanza kabla ya kuchaguliwa na watu wengine😳😳😳PERIOD
2026-09-23 12:07:07
15
geturude__
Aggy beby🌹 :
nimetoka nae mbali
2026-10-04 17:41:45
1
officialaz16
It's me.. Azizah Mzilah 🇹🇿 :
Ningeyasikia haya mapema nisingekuwa nilipo
2026-09-23 14:55:30
4
user974227977611
no name :
kama umetoka nae mbali Sasa hapo mjue mshafika
2026-10-06 11:37:24
1
dee.light18
Dee light :
Baaasiii kuna nini tena..!?
2026-10-07 03:51:29
0
mr.tabasamu.forev
mẅåňä çĥàťø :
ila muka ni kiboko nimejalibu kuipakua hii video kwenye app zingine ikawa haiwezi kushare ila kwenye muka aweee chapu na haraka na apa moja kwa moja mpaka status😂😂😂😂
2026-10-07 13:48:04
1
displaygasper
Display Gasper :
Ex wangu alikuwa ananipa mshahara wake nimuhifadhie japo shetani alinipitia. saivi namuomba turudiane hataki Najutia sana kuachana na yule muhehe 😭😭
2026-09-26 13:38:38
2
user3812684810577
user3812684810577 :
hongera kwakujitambua dada
2026-10-09 19:53:31
0
user4280203856600
user4280203856600 :
afazar tumepata wakutusemea ijia soda
2026-10-01 21:11:41
1
simbwiga.ringo.mw
Simbwiga Ringo Mwangupili :
Mapenzi tu yaani wao akikupa uchi anafikili ni kila kitu,na isiombe akakupa zawadi na akafanyia cake kwenye birthday hiyo kwao ndiyo kila kitu!!!
2026-10-10 12:14:53
0
wataifa1
group O+ :
kila kitu ndio hatutaki
2026-10-03 01:02:26
2
francis.festo
Francis Festo :
😳 waambie haooo.
2026-10-06 17:52:45
0
salumfaustine
salumfaustine700 :
iko waz
2026-09-29 09:21:46
1
ludovick.harson
Ludovick harson :
Hahaaa, duuh mammae huwa nawashangaaga sana
2026-10-09 10:05:45
0
misscatherine885
@MissCatherine.. :
Sijawai kukupinga
2026-09-23 12:46:33
0
neema.mollel
Neema Mollel :
😳kumbe ndio hivyo ngoja nifanye kwajil yangu
2026-09-23 12:23:32
3
user1093675716736
WinniLiam :
tusiwe waongo red frag huwa tunaziona ila tunazipuuza tunaforce mambo na tunawapa mda watabadilika tunajikuta mwisho wa siku kimetulamba 🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 21:10:11
2
shoomycosmetics
SHOOMY COSMETICS :
😁😁
2026-09-23 15:25:05
0
byeramaguru
B.M :
hii ningeijua mapema ningekuwa mbali sana
2026-09-24 06:19:12
0
ostinagrolian6
Ostina Grolian :
point
2026-09-27 05:07:34
0
josh_davie20
Josh davie :
waambie hao
2026-10-01 13:02:59
0
uncle.uncle998
Uncle Uncle :
Shukran
2026-10-04 20:09:29
0
httpswww.facebook3822
https://www.facebook.com/share :
2026-10-08 13:36:39
0
kyrine8_8
kyrine_tz :
asante mungu kumbe mi nimejitambua eeeh🙏🙏🙏
2026-09-23 12:39:32
0
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About