Nitakutafuta mrembo, watu wengi wanadharau masoja lakini natambuwa kuwa soja ni kazi kama kazi ya office na soja ni mtu kama mimi soja ni mtu wa gawaida.
Kwa hivyo nami kikupenda usionyeshe madharau.
Nitafute inbox tuseme mengi mazuri amvayo yatakuwa siri yangu na wewe
2026-09-23 20:10:00
38
Bokande Ke🇰🇪 :
Situngie Night shift soldier 😊👍📸
2026-09-24 08:33:23
2
kerubo505 :
stress free 🥰🥰🥰 u don't mind about your uniform.🤣🤣🤣Raha jipe mwenyewe mahali popote
2026-09-24 05:44:38
6
solo :
love that passion
2026-09-24 05:58:48
1
Nick mwaura :
napenda content zako shirandula
2026-09-24 13:27:28
16
sam ❤️❤️❤️ :
mungu uyu ndo nilikuomba
2026-09-24 10:35:14
16
Frank onchomba :
guys president Ruto must be Respected
2026-09-23 21:06:15
20
sosy :
ju ni kawatchman acha nkafollow
2026-09-24 06:17:47
23
Tinahnoor685 :
security tight
2026-09-24 08:15:16
2
Simon Esron :
madam piga job kazi ni kazi penda na moyo wako
2026-09-23 23:28:11
15
hot💍💦mama🔥❣️ :
kampuni yetu 😅
2026-09-24 07:04:31
5
Kipchirchir :
hizo dance imebidi tu nikufollow
2026-09-23 19:23:29
9
GK :
director apandishie huyu mushahara ...ameweza
2026-09-23 18:13:20
6
first born :
security iko tight huku inje😂
2026-09-24 01:58:30
11
sakkie mgett🇰🇪//🇺🇬 :
eeeh my daddy akikupata si utamuua 🥰🥰
2026-09-23 13:07:56
7
🇪 🇱 🇮 🇵 🇭 🇦 🇸 🇰🇪 :
Hii kampuni ya Canon ndio nilianzia kazi ya kwanza ,after form 4 ikabidi nikarudi home nijoin college
2026-09-23 20:38:35
6
Richy :
Jambo afande
2026-09-24 08:06:19
2
Juliana Fredrick :
hapo sasa
2026-09-24 06:42:50
2
jhenova :
huyu sasa atanilinda roho 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 10:00:55
2
Peace maker :
uko wapi
2026-09-23 20:45:35
2
To see more videos from user @lillylillyee5, please go to the Tikwm
homepage.