Ni kumuachia mungu tuu hamjui ninyi yani siku zinavyozidi kwenda ndio maumivu yanazidi tena inauma sana anapoanza kukupa style mpya unawaza izi zote alikua anazionesha kule duuuh 🙌🙌🙆🙆🙆😅
2026-09-23 14:05:17
1
scorpion 🦂 🦂King 👑 :
Mngetuachaa wanaume jamn
2026-09-23 13:19:26
0
macho :
hapana sio kama wanaumia ila wameumbwa hivyo kuwa hawawezi kuvumilia zaidi.
2026-09-23 13:20:02
0
arcado :
Kuna watu wanaumizwa na mapenzi siku izi
2026-09-23 14:12:18
0
danillo_crown :
@Wasafi Media @danillo_crown: Tuna unfollow account yenu kwa utoto wa baadhi wa watu wenu ikiwemo kipindi cha sports arena mnatuwekea mashabiki kweny kipindi cha wachambuzi hata ulaya mchambuzi hawezi kuipa Manchester city asilimia 90 mbele ya manchester united licha ya historia zao mfano uyo dulla kama mmeamua kipindi kiwe cha michez basi kiwe cha michezo na sio umbea na kutupa madongo kwa watu au timu fulan
2026-09-23 13:37:33
1
To see more videos from user @wasafi_media, please go to the Tikwm
homepage.