@berry.collection95: Leo nataka niwaambie kitu kidogo…! NI NGUMU NA NAANDIKA HUKU NINA HUZUNI😔 NIMEPITIA VIDEO ZANGU ZA NYUMA DUU KWANZA HAKUNA SAFARI YA MTAFUTAJI RAHISI ILI KUFIKIA LENGO LAKINI NASHUKURU SAFARI HII INAZIDI KUNINOA ILI NIWE BORA ZAIDI🥰 SABABU SIOGOPI TENA KUPOTEZA NA SINA PRESHA NAAMINI NITAPATA KIKUBWA ZAIDI YA HAPA JAMBO LA MUHIMU NI KUAMINI KILE UNACHOKIFANYA HATA KAMA WATU AWAKUELEWI MUHIMU WEWE MWENYEW BINAFSI UNAJIAMINI BASI FANYA USIRIHUSU LOLOTE LIKUVUNJE MOYO HAKUNA CHANGAMOTO INAYODUMU SUBRA NI MUHIMU SANA🤲🫶🫀 ROLE MODEL WA MAISHA YANGU NI MIMI MWENYEW KWA SABABU NIMESHUHUDIA KUANGUKA NA KUSIMAMA KWANGU MIMI MWENYEW NA NIMEONA NAMNA UTHUBUTU ULIVYO NA NGUVU WAPAMBANAJI WENZANGU KAMA MIMI OGOPA MAKUNDI USIISHI KWA KUIGA WATU WEKA MIPKA KATAA MAZOEA ,MTANGULIZE MUNGU MBELE,WEKA JUHUDI ,USIINGIE KWENYE MASHINDANO UTAPOTEA ,USIISHI KUWALIDHISHA WATU MAANA MWISHO WA SIKU NI WEWE PEKE YAKO PIA USIFANYE KITU UKIMTEGEMEA MTU MTEGEMEE MUNGU PEKEE MWENYEZI MUNGU ANASUBILI UANZE ILI AMALIZE HUYU HUYU MUNGU ALIYENIPA MIMI WAZO LA BIASHARA ALINIPA NA WATEJA KWA NYAKATI AMBAZO SIKUZITEGEMEA NAJIVUNIA MIMI WA LEO NA NAAMINI NITAKUA ZAIDI YA HAPA HAKIKA MUNGU AMEKUA NI MWEMA KATIKA MAISHA YANGU Alhamdulillah..! KATIKA MAISHA YANGU SIJAWAHI KUTAMANI MAISHA YA MTU YEYOTE NA WALA KUMUONEA WIVU MTU YEYOTE NA PALE AMBAPO NINAPITIA MTIHANI WOWOTE BADO NINA MATUMAINI NA MUNGU WANGU MAANA AMENITOA MATOPENI😭🤲 HIVYO FANYA VITU NENDA KWA MWENDO WAKO USITAMANI MAISHA YA MITANDAONI KARAA PRESHA NA MAKUNDI KAMA UNA NIA NA JUHUDI UTAFANIKIWA SIJAFIKA NINAPOPATAKA ILA NIKO NJIANI NAELEKEA HUKO UAMINIFU NI NGUZO MUHIMU SANA KATIKA BIASHARA YEYOTE ILE Hivyo NAWASHUKURU MNOOO WATEJA WANGU MMENITOA MBALI MNOO MWENYEZI MUNGU AWATIMIZIE HAJA ZA MIOYO YENU Nawapenda na dua nawaombea❤️🔥🫶🫀 #fypviraltiktok🖤シ゚☆♡ #tanzaniantiktok#virallllllllllllll #VoiceEffects #fyppppppppppppppppppppppppppppppppppp
Allahumma Baarik, To many more Wins & Achievements Dear🤲🥰
2026-09-23 17:11:59
1
suryahyassin :
Keep shining baby,
2026-09-23 17:32:27
1
rubytee 🥰 :
congratulation kipenzi
2026-09-23 17:22:06
0
It’s nureyn 🦋🌹💕 :
Proud of you kipenzy yani even the first time tunakutana Kkoo Nilijua you’re a chosen one , you’re always blessed keep shining and moving 🥰🥰🥰
2026-09-23 18:42:47
0
السيدة مو🌸 :
🥹 Hakika wakati wa mungu ni wakati sahihi 😩 iproud of you babeh🫂❤️
2026-09-23 14:13:42
3
Nayel💙🩵 :
Itoshe kusema kua mungu alikuchagua mimi niliwinga nlipokua chuo nashinda kariakoo kwa wiki mteja mmoja😭🥹
2026-09-23 13:32:19
37
Dee MAPOCHI 👜🛍️ (backup) :
The story.....🥺
2026-09-23 14:06:21
5
💍💦Minah stara collection💍💦 :
maisha huwa si mepesi
hakika mafanikio hayahitaji mtu lelemama🤲ewe mola wetu endelea kudumusha subra ktka nyoyo zetu
2026-09-23 13:12:16
10
ZUCHU_COLLECTION :
nakumbuka nimetoka na ww mbali sana
2026-09-23 16:01:18
7
🧕🏽🍂𝕗𝕚𝕣𝕕𝕒𝕨𝕤🌸🎀 :
Na story yako itaendelea tu my sister, na utaendelea ku-witness ukuu wa Allah as long as unashikamana na Yeye! 🥹🥰 That's why nakuambia unani inspire sana na nakupenda bure❤️❤️❤️❤️
2026-09-23 15:50:51
3
Ashkie🧕💕✨ :
Lakin story haijaisha kpnz
2026-09-23 13:46:42
2
diana Elias :
Mtandao unanguvu sana ukiutumia vixur🥰
2026-09-23 17:54:16
1
Pink lady :
pole sana nilianza kukufatilia baada y kuona post yako y kumpoteza mpendwa wako pole sanaaaa
2026-09-23 13:18:07
8
mercy_home_decors :
Poleee na Hongera Best 👏👏👏
2026-09-23 15:18:41
2
@DSS :
Ila depression ni mbay sana jamn
2026-09-23 14:27:59
3
Chosen Daughter❤ :
sjui kwann ila nimelia mm maan ndo kwanza naanza kupambana🥺
2026-09-23 15:44:05
1
11:11 ♥️ :
hongera kipenz ❤️usiache kuomba kila siku
2026-09-23 13:18:04
3
official_W🦋 :
2026-09-23 15:16:05
1
Miss Zuuh :
Umeniliza Berry🥺😭..ila umeni inspire sana🤭🥰
2026-09-23 14:47:55
2
Ahmari@2512 :
Pole mpk mwili umenisisimka kweli mm sijapitia maisha magumu 🙌mungu atusimamie wapambanaji wote🙏🤲
2026-09-23 15:30:46
3
hamisa000@ :
Kulaaa maisha mpenzi una deserve everything unapambana sana 💪
2026-09-23 14:22:37
2
Mamu Bekah💝 :
pole kwa uliyoyapitia ila hakika mungu anaskia maomb ya waja wake na anajbu kwa wakat sahih
2026-09-23 17:55:29
1
Aiem annie😎 :
let us keep it up one dei yes
2026-09-23 15:45:01
1
nyamandemanyama8 :
na wanachuo wanapitiaga magumu sana maana watu wanakuwa na tabia tofaut na wametoka maisha tofaut
2026-09-23 17:46:32
1
To see more videos from user @berry.collection95, please go to the Tikwm
homepage.