Nyinyi Askari mnatuonea sisi raiya viongozi wanaiba mabilioni hamuwapig wala hawakumiwi chochote wakikosea ila raiya
2026-09-23 17:40:44
28
Chiluba 27# :
Yan tutafika tu wanakuona mbali watakuja kushangaa 😂😂
2026-09-23 15:44:26
17
T.shop pointer :
mimi sijafaam iyo risasi imepiga gari mpaka gari imepinduka au kapigwa mtu ndo sababu ya kuserereka
2026-09-23 17:06:54
6
etoo :
kibali Cha elfu 40 kinatia hasara ya mamilion inasikitisha sana na alaumiwe zura au mwenye gari?
2026-09-23 19:30:01
2
Baby_chiya :
lini hii na wap
2026-09-23 17:22:21
2
Mobi :
Zanzbar Hatuna viongozi ndio Maana yote yanafanyika hayo na wala husikii mtu kachukuliwa yoyote
2026-09-23 18:41:28
4
SUDY BOY :
oy imepigwa risasi kweli au
2026-09-23 19:04:57
0
AHMED KIBISHOW😛😛 :
Allah ampe kauli thabit
2026-09-23 20:35:48
0
zaritours :
Wizi sio mzuri
2026-09-23 15:32:35
1
⭐maham'sly♉ :
🤔🤔unaposema tu....una maan ipi yaan
2026-09-23 17:57:28
1
Mudy :
ccm oyeeee
2026-09-23 20:02:28
1
45 :
tatizo letu sisi nihili Moja zura kwani gari halina namba mkachukuwa namba tuu yanini kufukuzana na mahari kusababisha ajali za ovyo kaskazini aliuliwa derva mpaka Leo Wana beba mchana bure hata kushitakiwa hawashitakiwi kwa uzembe kama huu kunamaana Gani Sasa hari kutiwa namba jamani tusiwe wazembe wa kusababisha ajali kama hizi ambazo Zina epukika
2026-09-23 20:25:03
1
Suleiman Ali :
tuanze kwanza na wizi.Mungu kakataza wizi
2026-09-23 18:50:51
0
Rehema Joseph :
sehem gan
2026-09-23 19:15:43
1
Khamis Hamad :
niliona hii leo
2026-09-23 17:26:41
0
mansour khani :
wapi apo tajiri
2026-09-23 14:14:12
1
Daudi.tza :
ilitaka andamana
2026-09-23 15:39:24
0
StreetKing_👑 :
NA askari au raia walioshind kana [Innocent][Tears of joy]
2026-09-23 13:33:14
0
$contraction group.zanzibar :
wameiba au wslikua hawana kibali
2026-09-23 17:23:51
3
Pretty_Girl :
iyo leo iyo
2026-09-23 15:15:37
0
Ahmed :
Heeee
2026-09-23 14:56:16
1
MR.TEDDY🇨🇦 :
2026-09-23 15:31:18
1
Kassim Khalfan :
imekufaa ??
2026-09-23 15:20:33
0
Mzemaga :
Sio kwel
2026-09-23 14:55:51
1
@ oblak 13 :
so kuiba ni kibali tuh il serekali bn
2026-09-23 15:14:39
0
To see more videos from user @sajeedadim, please go to the Tikwm
homepage.