Malengo yangu kukaa kwa wazazi hadi wahame waniache kwenye nyumba yao 😂😂
2026-09-23 18:00:39
43
Anisa Kitenge :
Nimejitumia kama mfano lakini lengo langu ni kusema hakikisha kila unachofanya kinasaidia kutimiza malengo yako hata kama ni maamuzi madogo madogo ya kila siku yawe na end goal. Haya byeeee ❤️❤️❤️❤️
2026-09-23 14:06:46
104
Mikymill___ :
Kwani Manzese kuna nini
2026-09-23 15:10:30
12
Nisa_details :
Sin malengo na sijali naishi naishiaaa alafu naitwa Anisa
2026-09-23 15:49:52
1
KM SQUARE 🏍️ :
Im goin with the flow
2026-09-23 17:04:42
0
roshineofficial :
Anisa unatumia mafuta Gani ya nywele kipenzi niambie plz
2026-09-23 14:50:48
11
Amani amay :
anyone yesterday
2026-09-23 16:49:49
0
Freddie juma jr :
clear kbxa
2026-09-23 16:03:07
0
Itsmynah…🍓 :
Me mbona sina malengo😂😂
2026-09-23 15:58:55
11
it'sree🦋💞 :
jipe muda wa kupumzika ndo chanzo kikubwa cha uo weusi mwaya
2026-09-23 16:19:24
10
From your Contacts :
Watu gani?
2026-09-23 15:03:29
4
xchn :
mimi Nina malengo lkn manzese sikai...Niko zangu kimara Temboni...nyumba nzuri Kodi ndogo dkk Tano Hadi barabarani
2026-09-23 16:22:38
8
Treza :
Nimekuelewa sanaaaaaa[Pray]
2026-09-23 14:52:33
7
isyshisa🌺 :
wa kwanza 😁
2026-09-23 13:54:57
5
shane mtbazi 🥰🥰🥰 :
ukweli dada nimekuelewa san ❤️❤️❤️
2026-09-23 15:17:25
2
lujalight :
mfano Anisa mm naishi kigamboni nafanya kazi kigamboni pia ingawa maisha yapoo juu sana sasa nataka nifanyee biasharaa kigamboni coz biasharaa zinakimbia piaa hukuu tatzoo kusave inakuwaa ngumu hapoo utanishaurijee
2026-09-23 15:58:05
0
Victoria Karera :
Love of My Life 🥰🥰🥰
2026-09-23 14:50:43
1
Parker06 :
me malengo yangu nioe demu weny malengo yako tu😁
2026-09-23 17:15:03
1
🌸SASHA MARDO 🌸 :
wakenya wenzangu malengo ni GOALS
2026-09-23 16:20:52
0
Lilian 🦋🥰 :
Za saizi jmn
2026-09-23 16:54:36
0
🦋Shanii🌸 :
nimejifunza Kitu
2026-09-23 18:33:55
0
user6541553497509 :
ata mi nilihisi sio bule unajambo lako kumbe kweli umenisanua kitu leo ubarikiwe
2026-09-23 19:06:11
0
@sarah miriam :
2026-09-23 21:33:25
0
To see more videos from user @anisakitenge, please go to the Tikwm
homepage.