@dalalierickmwanza: NYUMBA INAUZWA IGOMA -ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni self contained, sebule, dinning, jiko na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni 35x18 ( kiwanja kimepimwa ) -umeme, maji na barabara vyote vipo -bei Milioni 50 📞 0743220097