@innocent_raphael: Mtu umekorofishana nae ofisini pale. Hata kama labda hujakorofishana nae wewe lakini tatizo limetokea katika ofisi... Unamwamisha kwa mfano, unamua kumpeleka Chalinze kule. Wewe tena unachukua simu, unampigia simu afisa rasilimali watu Chalinze kule, unamwambia kabisa kwamba bwana huyo Ridhiwani ni tatizo kweli kweli! Inakuhusu nini?" โKatika mifumo ya kiutawala, mipaka ya mamlaka huvunjika mara nyingi pale ambapo viongozi wanapoacha kusimamia mifumo na kuanza kuendesha mambo kwa hisia au mihemko ya kibinafsi. โKama mwanafalsafa Thomas Hobbes alivyowahi kuonya kuhusu matumizi sahihi ya nguvu ya dola na mipaka ya mamlaka, viongozi wanapaswa kuwa daraja la kutatua changamoto badala ya kukuza migogoro midogo ya ofisini kuwa ajenda kubwa za kitaifa. Mhe. Ridhiwani ameeleza jambo hilo kwa uwazi haswa akiwafikishia ujumbe Rasilimali watu (Human Resource Managers ) na baadhi ya wakurugenzi, wenye tabia mbaya. USIKOSE HABARI ZINAZOFUATA, PAGE HII #siasa #tanzaniantiktok๐น๐ฟ #innocentraphael #innocentraphael
Innocent_Raphael
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 14:36:53 GMT
Music
Download
Comments
user8201574137931 :
Uyu jmaa anafaaa kabisa kuwa rais yupo sawa
2026-09-23 18:43:11
11
Feferajani :
Uko sahihi kabisa kaka mkubwa ๐๐๐๐๐คฒ๐คฒ๐คฒ
2026-09-23 17:54:10
4
Michael Joseph :
kama ni tatizo nitatizo boss hafai
2026-09-23 20:14:09
2
user24024190945116 :
Huyu jamaa yuko vizuri sana kimaamzi ( PM of ๐น๐ฟ๐น๐ฟ)โ
โ
โ
2026-09-23 17:43:05
6
minahbrown :
kweli kabisa kiongozi
2026-09-23 19:50:41
2
user370425226945 :
Asante kiongozi Kwa kuliona hili Fanya jambo tupone[Pray]
2026-09-23 18:09:05
4
DPP USA :
Asante kwakujali hili mkuu wanatumaliza inakuwa yeye ndioo tatzo โน๏ธ๐ข
2026-09-23 18:21:51
4
Bita Charles :
Ameongea vzr sana serikalini fitna nyingi sana
2026-09-23 19:44:10
9
mummy Zuu :
hiyo ukweli kbs
2026-09-24 01:28:32
1
Kim :
2026-09-23 18:39:04
2
wendemlelwa7 :
sema wasikie
2026-09-23 19:44:02
1
Jescahโค๏ธ๐ธ :
Apoooo ๐๐
2026-09-23 19:50:40
2
sakina :
alow riziwani umenisahau rafiki yangu kitambo sana mara ya mwisho ilikuwa upanga mwaka 2003 kulikuwa na miss upanga tulikuwa na mh shigela .longtime kila la kheri mzee
2026-09-23 18:32:32
1
kemeey :
daah
hii ni ukweli mchungu kazini kuna kazi hii inauma ssna unapewa tabia ambayo hauna kumbe ulikorofishana na mmoja lakini linabeba kote kote Allah asimame
hii inauma zaidi ya kuchomwa sindano
2026-09-23 20:24:03
1
Chioma๐ธ :
Unashangaa unakubali kuhamishwa ukiripoti huko habari zako zilizoeditiwa unazikuta ๐๐๐
2026-09-24 02:39:45
0
Boss Lady :
Secondary moja nilikua mkorofi balaa wakanipa uhamisho wa lazima nikahamia shule nyingine kumbe second mkuu aliyenifukuza na second master wa shule nilohamia wanajuwana nilivyofika tu akaniambia wewe nakujuwa vizuri sana uku utulie najua umetoka shule flan ulifanya iki na iki ebhana nikawa maalufu balaaa ๐๐๐
2026-09-23 20:59:15
0
๐๐คฉbaby am๐๐ :
wapo wengi sana haoooo
2026-09-23 21:18:24
0
user24024190945116 :
Sahihi kabisa ๐ฏโ
โ
โ
โ
โ
โ
2026-09-23 17:41:28
3
Saimon Ogati :
wambie mkuu wajifunze maana ya utawala
2026-09-23 21:12:40
0
mama p :
safiii kiongoz๐คฒ
2026-09-23 21:15:36
0
wendemlelwa7 :
ongeza sauti
2026-09-23 19:44:32
0
mrombo welding &Aluminum :
nikweli mweshimiwa zirwani
2026-09-23 17:07:34
2
linah :
yan ningekua karibu ninvekupa hata zawad ya mkono tu bonge la point
2026-09-23 17:46:51
2
MIN IRENE ๐ฆ :
@Kilyn๐๐ mkuu wenu uyooo
2026-09-23 19:17:24
2
luda..b :
๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-09-23 18:10:45
1
To see more videos from user @innocent_raphael, please go to the Tikwm
homepage.