@expertyco: Cartier CPCP Tortue Day&Night ref. 2962 Day and night, captured in one of Cartier’s most unusual dials. The CPCP Tortue Day&Night ref. 2962 turns a practical indication into pure visual theatre, with the sun and moon becoming part of the design. A complication you notice at first glance, wrapped in the unmistakable Tortue shape – exactly the kind of Cartier collectors keep coming back to. Available at Expertyco Ultra Rare Collection.

expertyco
expertyco
Open In TikTok:
Region: PL
Wednesday 23 September 2026 14:49:44 GMT
785
9
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @expertyco, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

E/Z 1. AMTANGULIZE MUNGU KATIKA KILA HATUA Mfundishe mwanao kumtegemea Mungu katika safari yake ya chuo, hasa anapokutana na nyakati ngumu. Kuna wakati anaweza kuchoka, kukata tamaa kutokana na course work, kufanya vibaya kwenye UE au kukutana na changamoto nyingine za maisha. 👉 Mfano:  Akifanya vibaya kwenye UE, asione kwamba safari yake imekwisha. Amuombe Mungu, ajitathmini alikosea wapi, atafute msaada kwa lecturer au wenzake, kisha aongeze juhudi. 2. CHUO NI HATUA YA KUJITEGEMEA ZAIDI Mwanao ajue kwamba chuo kinahitaji uwajibikaji mkubwa. Si kila kitu atafuatiliwa kama ilivyokuwa sekondari. 👉 Mfano:  Akipewa assignment yenye deadline ya Ijumaa, asisubiri lecturer amkumbushe. Ajipangie muda wa kuifanya na kuiwasilisha kwa wakati. 3. AENDE CHUO AKIJUA KWA NINI YUKO HUKO Asiende chuo kwa sababu tu amepata nafasi. Ajue anataka kujenga nini kupitia elimu anayokwenda kupata. 👉 Mfano:  Ajiulize, “Baada ya graduation, nataka niwe na ujuzi gani?” Kisha aanze kujenga maarifa, nidhamu, GPA nzuri na ujuzi wa ziada. 4. AJITHAMINI KIMWILI NA KIHISIA Mfundishe kuheshimu mwili wake, hisia zake na mipaka yake. Uhuru wa chuo usimfanye afanye kila kitu kwa sababu tu wengine wanafanya. 👉 Mfano:  Akishawishiwa kufanya jambo asiloliamini, ajue ana haki ya kusema “HAPANA.” Akipitia msongo au kuvunjika moyo, asikae kimya; azungumze na mtu anayemwamini. 5. AWE MWANGALIFU NA MAAMUZI YAKE Chuo kinampa uhuru zaidi, lakini kila uamuzi una matokeo yake. 👉 Mfano:  Kama marafiki wanamshawishi kutumia pesa ya chakula kwenye starehe, afikirie kwanza, “Kesho nitakula nini?” Ajifunze kutanguliza mahitaji muhimu. 6. AKIPATA CHANGAMOTO, ASIKAE KIMYA Mwanao ajue kwamba kuomba msaada si udhaifu. Tatizo likianza, ni vizuri kuzungumza mapema. 👉 Mfano:  Kama ameanza kushindwa masomo au ana changamoto ya makazi na fedha, amjulishe mzazi/mlezi mapema ili mtafute suluhisho kabla tatizo halijawa kubwa. 7. ASIINGIE KWENYE MAHUSIANO BILA KUJUA ATHARI ZAKE Mahusiano yanaweza kuwa sehemu ya maisha ya chuo, lakini yasiruhusiwe kuvuruga malengo yake. 👉 Mfano:  Asiache lecture, kusoma au kutumia pesa yake yote kwa sababu ya kumfurahisha mwenza wake. Ajifunze kuweka mipaka kati ya mahusiano na majukumu yake. 8. AJIFUNZE KUTUMIA PESA KWA MPANGO Mfundishe kwamba pesa ya matumizi inahitaji mpango. Si kila kitu anachokiona chuoni ni lazima anunue. 👉 Mfano:  Akipokea pesa ya mwezi, atenge kwanza fedha za chakula, usafiri, vifaa vya masomo na mahitaji muhimu kabla ya matumizi ya starehe. 9. ACHAGUE MARAFIKI KWA KUANGALIA MWELEKEO, SIO STAREHE PEKEE Chuoni atakutana na watu wenye tabia na malengo tofauti. Mfundishe kuchagua marafiki wanaomheshimu na kumsaidia kusimamia malengo yake. 👉 Mfano:  Kama ana mtihani kesho lakini marafiki wanamwalika kwenye starehe usiku, ajue kusema, “Leo siwezi, nina mtihani.” Asione aibu kusimamia malengo yake. 👉HITIMISHO Mzazi/Mlezi, kabla mwanao hajaenda chuo, usimpe mahitaji pekee mpatie pia ushauri, maadili na mwongozo wa maisha. 👉 Maneno utakayomwambia leo yanaweza kumsaidia kufanya maamuzi sahihi akiwa mbali na wewe. 🔥 FOLLOW CAMPUS WAKEUP -- WANACHUO TUNAAMKA PAMOJA.#firstyearstudents #creatorsearchinsights #educationalcontent #universitytutorial #fypシ゚viral

About