@livestockconnecttz: Ratiba sahihi ya chanjo ni msingi muhimu wa afya na ulinzi wa kuku wako. Hifadhi video hii na usisahau kuifuatilia kwa wakati sahihi. Unataka ratiba ya chanjo kwa broiler, layer? 👇 #UfugajiKuku #ChanjoZaKuku #Kuku #Broiler #Layer