@binamuupdates: Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania,Ambwene Mwasongwe ametoa ujumbe mzito kwa Chief Godlove ambaye hivi karibuni alionekana akiwa amejirekodi Video clip akiimba wimbo wa "TANGULIA MBELE" ambao ni Maarufu pia kama "TAI" wa Mwimbaji Ambwene Mwasongwe huku akielezea kuchoshwa na maisha yake ndani ya utawala wa Kishetani. Hii Part 1 ya sehemu ya Ujumbe wa Ambwene Mwasongwe kwa Chief Godlove na Watu wengine wenye Maisha kama hayo.
ambwene umeongea mazito hongera na tuwaombee vijana wengine wamuepuke shetani wafanye kazi waache tamaa
2026-09-24 00:12:47
20
msouth from south :
ALLAH AKBAR 🙏🙏💯
2026-09-24 09:18:17
6
robarth peter :
Matendo ya Mitume 16:17
[17]Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu.
The same followed Paul and us, and cried, saying, These men are the servants of the most high God, which shew unto us the way of salvation.
🥰🥰🥰kwakwer tunahitaji huruma ya bwana wetu yesu kristo
2026-09-23 18:43:25
9
Neema Masuza :
tuomba amgeukie mungu neema ya yesu bado ipo[Pray]
2026-09-24 07:23:17
3
ana,juma :
aokoke2
2026-09-24 14:04:15
0
PASTOR IMANI MANGOMINDJA ( 信仰 :
Mzee wangu umeongea kabisa
2026-09-24 15:12:33
0
user9500293192760 :
ni kweli mtumishi
2026-09-24 14:14:44
0
Veronika Zewanga :
hapo tu, MUNGU amkumbuke🙏🙏
2026-09-24 11:19:14
0
Faraja Lutonda :
shalom nikweli kabisa unachokiongea mimi ninachoamini umetumwa na MUNGU mda huu asante neno lako limenipa kusonga tena uwo ukame nikweli huwezi kumwambia mzazi wala ndungu yeyote nimaumivu sana 😭
2026-09-24 13:28:11
0
LUGUMI Almeda Mulinda🇨🇩 🔥 :
kweli kbs
2026-09-24 09:24:51
0
keih Mwanah@1 :
22#22
2026-09-24 11:18:26
0
theodosia :
kweli mtumishi ndo hivyo tuombe mungu sana hatuwezi bila mungu
2026-09-24 07:17:20
8
Mrsking😘 :
bwana yesu asifiwe wapendwa wa bwana
2026-09-24 11:17:19
3
Mr lan :
video yako ndefu sana mwanetu next time zungumza unazotaka kuwasilisha chap sio kuhubiri watu wako mbele ya mudaa yaan mbio kweny coment[Innocent]
2026-09-24 13:19:11
1
renata lucas :
kwahiyo mwakibete ndio baba yake kabisa
2026-09-24 04:30:50
6
MUTHAAA. :
NGOJA TUSIKILIZIE MAJIBUYAKE YA MATUS YATAKUWAJE
2026-09-24 08:09:31
1
Gilbert Moses :
vp kuhusu baba yake alivyo kengeuka mababu zake vile walivyo lelewa pamoja na maadili Babu zake walio mzaa na kuwafundisha yalio mema swali langu nani mkweli kati ya Babu wa chief,baba na chief ipi Iman iliyo sahihi hapo
2026-09-24 08:50:46
0
SUVERE TRUCK DRIVER :
walokole na kuokoka kuokoka n sio lahisi bro
2026-09-24 10:56:54
2
🍀Tatt🏀🏀 :
1.5 utanishukuru
2026-09-24 13:52:46
0
Witie🌹 :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-24 05:11:03
2
Roadmakers jr :
😂😂😂
2026-09-24 08:54:00
0
CHURCH BOY IN MAKONGOLOS :
🙏🙏🙏
2026-09-24 08:54:36
0
To see more videos from user @binamuupdates, please go to the Tikwm
homepage.