@emmanuelibrahimu30: takribani miaka 19 iliyopita Msanii Z Anto ametukumbusha mengi amekuja na video ya mpenzi jini......

Ebras@info
Ebras@info
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 14:59:53 GMT
112105
5156
105
56

Music

Download

Comments

futuresania
@FUTUREfilm-01b :
kwa furaha sina cha ku comet but real love this music☺️☺️☺️
2026-09-24 15:46:33
0
nicksonmakombe595
Nickson Makombe :
hongera sana
2026-09-24 08:25:34
0
legantu
legantu :
[Laugh approved]mr handsome naukubali sana [Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-24 04:54:17
0
mrs.gekul
Mary g :
jini kaja na mvua za elnino
2026-09-23 19:34:56
24
msabaha_220
Msabaha_220 :
z.Anto alikaa muda mrefu kwasababu jini alikuwa anakataa kushoot video so kambembeleza miaka 19 hatimae mwaka huu jini kakubali
2026-09-24 11:29:12
12
happy.macha
Happy Macha :
huyu si yupo kwenye dunia?
2026-09-24 09:16:13
4
salimsenseilee
Songo phones &Accessories :
nyimbo hii nakumbuka nilikuwa na sambaza mikate kwa baskel Dodoma ,kuna redio inaitwa Redio free Africa ikifika saa8 mchana mpaka 9 lazma Dj aipige sijui nayeye alipendwa na jini😂😂😂
2026-09-24 07:02:40
6
lilymoses97
lily :
huu wimbo niliupenda sana daa
2026-09-23 18:47:24
9
madole67
madole :
kiwango cha shooting ya wimbo huu mbona haiko kama nilivyoidhania🤣
2026-09-24 11:32:58
1
kilianmwingila0
Kilian Mwingila :
angeirudia kwa sound ya sasa ingekuwa powa sana
2026-09-23 19:50:50
1
apolinalingogo3
apolinalingogo :
bora karudi kwa game
2026-09-23 18:01:41
3
amonaron568
Amon Aron :
jini mwenyewe kachangamka☺️
2026-09-23 19:24:56
2
lizbetymmassy
Lizbety Mmassy :
kwaiyo jini ana simu
2026-09-24 09:19:07
1
user98004688076103
robert :
mwamba umetisha.. tuendele tulipo ushia..
2026-09-24 05:27:08
2
aden.vales
Aden Vales 🌊 :
Semeni kweli basi niwahi kutoka kwenye uchochoro wa Wi-fi ya mtaa🤔🤔🤔
2026-09-23 17:38:57
3
mejawsfamly
mejaw'sfamly :
mbna huyu jini namuona kwenye mov ya Dunia
2026-09-24 17:06:19
0
zuwenaramadhan123
Zuwenaramadhan123 :
wimbo niliupenda sana huu
2026-09-23 16:54:24
2
emmanuelfrenk18
CHALII EMMA❤️🫂 :
uyu jini sio kama majini wa 2000 wapo kila mahali
2026-09-24 16:19:04
0
wadarfikiri
lovely ❤️ :
kama mina Ally mara kama Nandi ☺️
2026-09-24 17:16:33
0
shazilirashidi
Rucass :
atali sana
2026-09-24 14:05:10
0
itc_mellow
Mellow🦋🦋 :
Nyimbo inatoka sijazaliwa video yaja nishazeeka jmn
2026-09-24 16:25:14
0
vee83585
Vee🌹 :
sas km ni miaka 19 ndo akatoa video m nilikua na miak mingapi🥺
2026-09-24 17:08:37
0
naa.sweet32
Naa sweet cake 🎂🎂 :
Naomba wasanii. wazaman waendelee kutoa video za nyimbo ambazo hawajatoa kwanza zina maudhui 🔥
2026-09-24 11:42:32
0
jainath.hamis
Jainath hamis :
urienda wap kwa hii mistar🥰🥰
2026-09-24 15:14:52
0
laizer.lemanda
Laizer_ Lemanda✅ :
nishangaa jana nimesach nikaona video
2026-09-23 17:37:28
0
To see more videos from user @emmanuelibrahimu30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About