@kelvin.m.richard: EPISODE 01 | REPUBLIC v YUSUPH LUTA NDAHANI Mtu akikushambulia, una haki ya kujilinda , lakini je, unaweza kutumia nguvu yoyote? ⚖️ Kesi hii inaonyesha mipaka ya self-defence na maana ya kutumia excessive force. Funzo: Kujilinda hakumaanishi kwamba kila kiwango cha nguvu kinachotumika kitaruhusiwa kisheria. #mwalimuwasheria
MWALIMU WA SHERIA 🇹🇿
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 15:00:52 GMT
Music
Download
Comments
𝕧𝕚𝕜𝕖 𝐤𝐫𝐚𝐭𝐨𝐬 :
angepata wakili mzuri hakuna kesi hapo😁😁
2026-09-24 06:06:36
2
drmkumbo :
I'm thinking about oc2925, reasonable force 😭
2026-09-23 20:27:52
1
Ruangwa Finest :
hakuna na wakili mzuri tu.
2026-09-23 16:29:22
1
BIZO BOY :
mbona sisi tulikuwa na mawe oktoba 29 tukapigwa risasi😂
2026-09-25 21:20:34
2
️ :
🤣🤣🤣 kwanini utolee tablet mfano
2026-09-24 04:55:42
1
Abu islam93 :
sheria ya kisenge. uo muda wa kufikiria nitumie silaha gani c watakua washanidhuru. sheria isiyo na haki
2026-09-24 04:39:37
1
Asteria Grandeur :
😂😂😂Kwanin tablet lkn😂
2026-09-23 16:05:03
2
𝓙𝓸𝓼𝓮𝓹𝓱𝓠𝓾𝓮𝓴𝓮𝓻✝️ :
yan wako wanne halaf wako na ukuni tu kvp ama kiaje
2026-09-23 16:26:02
1
Madam Happiness Bana :
ila Sheria bhana😀😀😀😀😀😀 Sasa mtu amenipiga Kofi nikamsukuma kidogo akajifia zake naenda jela aki😀
2026-09-27 18:10:21
1
yuppie__9 :
🙌🔥🔥🔥
2026-09-23 23:56:30
1
To see more videos from user @kelvin.m.richard, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.