@cwgchiwaga: Katika Moja ya simulizi ya mahojiano kati ya kijana mwenye miaka 16 ajulikanae kama yahya amezungumza kiundani sababu zilizo mpelekea yeye kufanya biashara ya kukusanya madumu na KUUZA . Mahojiano hayo yaliyo ruka katika media ya @millardayo yamevutia na kugonga vichwa VYA habari Vya wengi haswa katika historia hii ya huyu kijana ambae ameamua kujitegemea akiwa na umri mdogo.

CWG DIGITAL
CWG DIGITAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 15:15:23 GMT
171884
10824
295
304

Music

Download

Comments

nyasafarmhouse
nyasafarmhouse :
Mwenye nyumba anapokea kodi ya dogo kwa Amani kabisa??
2026-09-23 18:37:40
43
canilove19
♈ . ✅ canilove19 💜 :
watanzania tumchangie na huyu mdogo wetu apate chochote kitu 🥲🥹
2026-09-23 18:26:50
129
jacktarimo44
Jackie Ngo,ja :
paka nimetokwa na machozi mungu akubarik sana mdogo angu
2026-09-23 17:40:47
102
modamba6
Blessed girl❣️💫 :
bilionea wa baadae mwenyezi mungu akufungulie milango yako ya riziki mdogo angu
2026-09-23 17:18:04
270
hansernest5
Hans Ernest :
dahhh ila Mungu fund jamani huyu dogo atafik mbali Sana
2026-09-23 17:38:48
65
neema5419
Neema :
I see a future billionaire
2026-09-23 18:25:20
0
best_design_fashion
best_design_fashion :
Mungu akuongoze💔💔💔💔💔
2026-09-23 16:41:15
22
allahatupemwishomwema
HEMED :
Naomba ya siku ya uyo dogo au naomba nikutanishe nae
2026-09-23 19:39:01
7
nick_hd96
Nick HD🧿 :
Kumetangulia wanawake afu ndo nikaja Mimi masculinity Mind…🔥🔥💪🏽🧠
2026-09-23 19:05:35
12
raybabe02
raybabe :
Mungu akupe hitaji la moyo wako mdogo wangu
2026-09-23 17:14:09
49
its_mchinaa
it’s _mchinaa :
So tunampataje tumchangie chochote 🙏
2026-09-23 18:57:49
7
arnoldshirima3
Nongi Chagga 0G :
Dogo lazima utaenda viral kwa jina la yesu amen
2026-09-23 17:39:08
67
annes416
annesgoliama :
mimi nisinge pokea kod kama mwenyenyumba ningempa hat miez6 iliisha ndoaanze kunipa Yan nimeonauzuni sana
2026-09-23 19:08:29
9
rodgars.sirima4
Rodgars Sirima :
my champion
2026-09-23 19:36:55
0
zan.kukupoint
AMR Poultry 🐓 :
Respect 🫡
2026-09-23 19:34:59
0
godfreymunis33
mapogos MNS :
jamani watu tunatoka mbali mm mwenyewe nimetoka hom nikiwa mdogo sana nimeripa kodi nikonamiaka 15 nalipa miezi4 erfu 40 ila maishahaya mpaka nimeria
2026-09-23 18:27:44
6
adventinaadventin
Adventina Adventina :
Mwenyezi Mungu haibariki kazi ya mikono yake😥🙏🙏
2026-09-23 17:53:24
8
_mamytham_
Mamy-tham :
maskin 😭
2026-09-23 18:18:14
0
saumjengi3
Qauthary 💋💝 :
Kanajielewa Mashallah M/ Mungu amuongoze vyema Inshallah 🤲
2026-09-23 18:58:38
8
gerald20331
Gerald :
dogo upo good san mwang komaa
2026-09-23 17:46:09
6
cuty1371
valentan💞 :
mungu akutangulie kwakila unachofanya mdogo wangu naamin utafika unapoenda🙏🙏
2026-09-23 17:20:49
10
anisetoura
suzzieyy_oura❤️🌝🥦 :
Mungu akutangulie aisee,🥲
2026-09-23 17:08:39
8
elizabethkiondo83
lizzykiddy :
maboss wampe kazi jaman maana ni mpambanaji
2026-09-23 18:48:11
6
frolah483
frolah :
mungu akubarik upate zaid ya elf saba
2026-09-23 17:27:05
8
traore.photoshoot
📸 :
sizani kama 16 imefika au ni udumavu...daaah anapambana jmn
2026-09-23 16:46:49
11
To see more videos from user @cwgchiwaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About