@stuadventist: Ni jioni ya pekee tena kubarikiwa na mkutano wa Kibada Digital Evangelism Event unaoendelea katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kibada waweza kutufuatilia kupitia Mitandao yote ya kijamii ya Southern Tanzania Union Mission (STU ADVENTIST) na Youtube Account ya Hope Channel Tanzania tubarikiwe pamoja Barikiwa na wimbo huu kutoka kwa Kwaya ya Geza Gospel Friends #mamboyotemapya #tumainilinaanziahapa