@islamicswahilinet: Kwa nini mapenzi ya mtoto kwa mzazi sio ya dhati? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 15:38:29 GMT
15871
745
38
75

Music

Download

Comments

kindness_2722
Kindness_2722 :
the Hush reality 😒
2026-09-23 19:28:01
0
user1365858043396
user1365858043396 :
fact
2026-09-23 19:04:56
1
mwenetuuu99
mwenetuuu :
usipowaheshimuu wazazi wakoo Basi jua Deni yako ni wanao pia hawatokiheshimuu .kama tudinu...
2026-09-23 17:43:24
4
fi0hfy
Abdul 67 :
wazazi we2 twawapenda mno atakama hatuna chakuwapA atakama tunacho na hatuwapi..upendo ni kitu chengine kwao muhimu ni uzima na faraja tukiwaona
2026-09-23 18:23:36
3
seifabdallah86
seif abdallah :
kweli kabisa
2026-09-23 18:23:59
2
manjwaka
♊DIZANA ISSA MANJWAKA♊🇹🇿🇶🇦 :
sahihi
2026-09-23 18:40:13
1
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
Mm ninamapenz ya dhat na Wazaz wangu
2026-09-23 16:17:51
3
gerald20331
Gerald :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbon kama kwer iv
2026-09-23 18:11:25
1
meshabui
meshabui :
sio kwel
2026-09-23 18:59:20
1
tandeboy
tandeboy :
subhahanallah
2026-09-23 17:58:56
1
babaakram__
Baba Akram 🇹🇿 :
Daaahh, kuna ukweli flani hivi [Innocent]
2026-09-23 18:03:54
1
adamumanyendi
Adamu Manyendi :
Allah akbar
2026-09-23 17:47:10
1
kingvonny04
Dante Dulla 367 :
wazazi wangu nawapenda
2026-09-23 17:29:21
1
pango507
pango507 :
kwaiyo shekhe inatakiwa tufanyaje
2026-09-23 17:50:53
0
mshale720
mshalethe :
kweli
2026-09-23 19:22:53
0
im.that.im7
I'm that I'm :
Ni kweli kabisa
2026-09-23 19:27:14
0
user81045888733485
0079# :
Mungu awakumbushe juu ya upendo kwa wazazi wao maana ndio chanzo cha wao kuwepo duniani
2026-09-23 19:14:22
0
komakech21
komakech21 :
kweli kabisa
2026-09-23 19:15:10
0
sadru56
sayed :
[Heartwarming]
2026-09-23 18:11:34
1
bintirasoul
Çocuk :
[Perfect score]
2026-09-23 17:51:43
2
abdallahmalkiomar
Abdallah malki Omar :
🥰🥰🥰
2026-09-23 17:43:52
1
helwafahmi
helwa fahmi :
🥰🥰🥰
2026-09-23 15:46:53
1
rashidibarcola
GNABRY RASHIDI :
🥰🥰🥰
2026-09-23 16:00:36
1
kaloss8
GPA 4.5 Tz :
😂😂😂
2026-09-23 17:23:32
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About